Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Mashindano ya Bonnah Segerea Cup yanatarajiwa kuanza tarehe 03/12/2022 hadi tarehe 18/01/2023. Timu 64 kutoka katika Mitaa ya Segerea 61, zitakutana kwenye Viwanja 8 vilivyopo Jimbo la Segerea.
Mbunge wa Segerea Bonnah Kamoli ameeleza kwamba Mshindi wa kwanza atapata Milioni 5, Mshindi wa Pili Milioni 3 na Mshindi wa tatu Milioni mbili. Ameeleza Waamuzi watapewa na Tanzania Football Federation (Shirikisho la Soka Tanzania) TFF huku wachezaji wa Ligi kuu wakiwa wamepigwa Marufuku.
Pia Wachezaji wote wanatakiwa watoke jimbo la Segerea na timu itakayokiuka mashariti itakuwa imejifuta kwenye mashindano.
Timu zifuatazo na viwanja ndizo zitashiriki mashindano haya.
1. Uwanja wa Wazazi Kimanga:
a) Timu: Kisiwani -Buguruni na Msimbazi Magharibu Tabata
b) Majengo Vigunguti - Kikunguni Kipawa
c) Kifuru Kinyerezi - Segerea
d) Kanga kinyerezi - Sokoine Kimanga
2. Uwanja wa Sikwita Buguruni:
a) Kigilagila Kiwalani na Migombani Segerea
b) Amani Liwiti na Mogo Kipawa
c) Libanda kinyerezi na Mji mpya mnyamani
d) Sitaki shali na twiga Kimanga
3. Uwanja wa Toto Tundu segerea:
a) Butihama na Karakata
b) Kichangani na Mamchimbo
c) Darajani na Mtambani
d) Minazi Mirefu na Mivinjeni
4. Uwanja wa Msikate Tamaa:
a) Uwanja wa Ndege na Kisukuru
b) Mnyamani na Tembo
c) Mji Mpya Kipawa na Tabata
d) Msingwa na Mwale
5. Uwanja wa Bonyokwa Shule:
a) Kiwalani na Miembeni
b) Kinyerezi na Bonyokwa
c) Luhanga na Kisiwani Tabata
d) Kibaga na Bodaboda
6. Uwanja wa Tabata Shule:
a) Matumbi na Maruzuki
b) Mianzini na Liwiti
c) Misewe na Madenge
d) Bajaji na Rugomboro
7. Uwanja wa Yombo shule:
a) Kihimbwa na Banebane
b) Kifstu na UVCCM
c) Mfaume na Kisiwani Tabata
d) Migombani na Kombo
8. Uwanja wa Sitaki Shari Kipawa:
a) Tembo Mgwaza na Yombo Kiwalani
b) Mandela na Malapa
c) Mtakuja na Kisiwani Bonyokwa
d) Mtambani Vingunguti na Kimanga
"Vijana wajitokeze kucheza na kushangilia kuliko kukaa mtaani bila kazi. Michezo ni ajira", amesema Mbunge wa Segerea Bonnah Kamoli.