Droo ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) hatua ya makundi msimu wa 2017/18

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971

Droo ya klabu bigwa Ulaya itachezeshwa leo tarehe 24/08/2017 ili kupanga makundi ya michuano hiyo. Droo hiyo itafanyika muda wa saa moja usiku saa za kitanzania (19:00 hours).

UEFA imeshibitisha 'visanduku' (Pots) ambazo timu zimepagwa ili tengeneza makundi hayo, kisanduku cha kwanza kitakuwa na timu ambazo zimeshinda ligi za nchini kwao.

Pot 1:Real Madrid (ESP, holders), Bayern München (GER), Juventus (ITA) Benfica (POR), Chelsea (ENG), Shakhtar Donetsk (UKR), Monaco (FRA), Spartak Moskva (RUS)

Pot 2: Barcelona (ESP), Atlético Madrid (ESP), Paris Saint-Germain (FRA), Borussia Dortmund (GER), Sevilla (ESP), Manchester City (ENG), Porto (POR), Manchester United (ENG)

Pot 3:Napoli (ITA), Tottenham Hotspur (ENG), Basel (SUI), Olympiacos (GRE), Anderlecht (BEL), Liverpool (ENG), Roma (ITA), Beşiktaş (TUR)

Pot 4:Celtic (SCO), CSKA Moskva (RUS), Sporting CP (POR), APOEL (CYP), Feyenoord (NED), Maribor (SVN), Qarabağ (AZE), RB Leipzig (GER)

Vitu muhimu vya droo
1. Hakuna timu inaweza kucheza na timu nyingine kutoka katika shirikisho moja la soka.

2. Kutokana na uamuzi wa kamati za UEFA timu kutoka Ukrain na Russian haziwezi kukutana kwenye hatua hii.

Kwenye droo hiyo pia kutakuwa na zawadi zikatazotolewa, ambazo ni
1. UEFA Men's Player of the Year
2. UEFA Women's Player of the Year
3. Goalkeeper of the 2016/17
4. UEFA Champions League season
5. Defender of the 2016/17 UEFA Champions League season
6. Midfielder of the 2016/17 UEFA Champions League season
7. Forward of the 2016/17 UEFA Champions League season

Ratiba ya Michuano hiyo ni kama ifuatavyo
12/13 September: Group stage, matchday one
26/27 September: Group stage, matchday two
17/18 October: Group stage, matchday three
31 October/1 November: Group stage, matchday four
21/22 November: Group stage, matchday five
5/6 December: Group stage, matchday six

11 December: Round of 16 draw
13/14 & 20/21 February: Round of 16, first leg
6/7 & 13/14 March: Round of 16, second leg

16 March: Quarter-final draw
3/4 April: Quarter-finals, first leg
10/11 April: Quarter-finals, second leg

13 April: Semi-final and final draw
24/25 April: Semi-finals, first leg
1/2 May: Semi-finals, second leg

26 May: Final (NSK Olimpiyski, Kyiv)

UPDATES

WASHINDI WA TUZO ZITOLEWAZO LEO
Mshindi wa tuzo ya Rais wa UEFA 2016/17 - Francesco Totti
Kipa bora wa msimu 2016/17- Buffon
Beki bora wa msimu 2016/17 - Sergio Ramos
Kiungo bora wa msimu 2016/17 - Luka Modric
Forward bora wa msimu 2016/17 - C. Ronaldo
Mchezaji bora wa kiume msimu wa 2016/17- Cristiano Ronaldo

GROUP A
Benifica, Manchester United, Basel, CSKA Moskva

GROUP B
Bayern Munich, PSG, Anderlech, Celtic

GROUP C
Chelsea, Atletico de Madrid, AS Roma, Qarabag

GROUP D
Juventus, Barcelona, Olympiacos, Sporting CP

GROUP E
Spartak Moskva, Sevilla, Liverpool, Maribor

GROUP F
Shakhtar Donestk, Manchester city, Napoli, Feyenoord

GROUP G
Monaco, Porto, Beskitas, RB Leipzig

GROUP H
Real Madrid, Dortmund, Tottenham Hotspurs, APOEL Nicosia
 
Images and Videos




Kulia tuzo atakayopewa mwanasoka bora wa kiume na kushoto tuzo atakayopewa mwanasoka bora wa kike




Miongoni mwa wanasoka waohisiwa watashinda tuzo ya mwanasoka bora, C.Ronaldo, Messi na Buffon


Lionel Messi akimpongeza Cristiano Ronaldo baada ya kushinda tuzo ya Forward bora wa msimu


Makundi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu wa 2017/18


Cristiano Ronaldo mshindi wa tuzo ya Mchezaji bora wa Kiume wa msimu wa 2016/17
 
Zitakuwa Live kwenye Station Gan?
 
Mkuu mbona Barcelona anacheza na atletical Madrid afu unasema hakuna timu kucheza kutoka shirikisho moja au sijaelewa maana ya sentensi yako
 
Hii ni droo labda yakabati
 
Msimu wa Manchester United, hakuna mbabe wa kutuzuia msimu huu.
 
Group A: Benfica, Manchester United, Basel, CSKA Moscow
Group B: Bayern Munich, Paris St-Germain, Anderlecht, Celtic
Group C: Chelsea, Atlético Madrid, Roma, Qarabag
Group D: Juventus, Barcelona, Olympiakos, Sporting Clube de Portugal
Group E: Spartak Moscow, Sevilla, Liverpool, Maribor
Group F: Shakhtar Donetsk, Manchester City, Napoli, Feyenoord
Group G: Monaco, Porto, Besiktas, Leipzig
Group H: Real Madrid, Borussia Dortmund, Tottenham, Apoel Nicosia
 
Mkuu mbona Barcelona anacheza na atletical Madrid afu unasema hakuna timu kucheza kutoka shirikisho moja au sijaelewa maana ya sentensi yako


May Allah bless Me and You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…