dev senior
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 458
- 557
Tottenham ameshatolewa kabla michuano haijaanza....
Bye bye in advance..
Bye bye in advance..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wenge!Nmetafuta arsenal sijaiona..! Au naota..?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganye mkuu, hii Man U si ya mchezo mchezo.Man u atatoka ktk hatua ya makundi msimu huu.
Si kweli angalia vizuri hapo juu katika magroup.Mkuu mbona Barcelona anacheza na atletical Madrid afu unasema hakuna timu kucheza kutoka shirikisho moja au sijaelewa maana ya sentensi yako
Ila mnashukuru mmepangiwa vibondeJidanganye mkuu, hii Man U si ya mchezo mchezo.
Labda wale wa laliga wajitoeIla mnashukuru mmepangiwa vibonde
Bingwa wa europa anaenda moja kwa moja kwenye makundi bila kuangalia nafas aliyomaliza kwenye ligiNakumbuka wachambuzi wa EFM, walisema number 4 anachomoka kumpisha mshindi wa europer league, manake ni Liverpool. Nashangaa tena zimeingia teams 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Tottenham hana bahati,hakuna ugumu wowote kwenye hilo kundiGroup H hilo watauana sana. Timu takriban zote zina njaa sana
Tena ndoto ya mchana.Nmetafuta arsenal sijaiona..! Au naota..?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ni Kweli unaota mkuuNmetafuta arsenal sijaiona..! Au naota..?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeoa wapi?Mkuu mbona Barcelona anacheza na atletical Madrid afu unasema hakuna timu kucheza kutoka shirikisho moja au sijaelewa maana ya sentensi yako