Tulia dawa iingie.Yani Madrid kwa mbeleko daaaah shida tupu
Yani Madrid kwa mbeleko daaaah shida tupu
Mbeleko iko wapi sasaYani Madrid kwa mbeleko daaaah shida tupu
Tatizo lako unaichukulia poa city watachukua ndoo mbele ya macho yakoYani Madrid kwa mbeleko daaaah shida tupu
HA HA HA HA HA HA HA HA... It's incredible! No body gets all that luck. I am starting to believe in hot balls. They heat up the balls and they have to come out first before they cool. That's why Real Madrid and their opponent are always the first teams to be drawn. NICE ONE UEFA.
Yani Madrid kwa mbeleko daaaah shida tupu
FYI i'm not Barcelona fan
Man city watachukua hili kombe bila shaka. Watafanya walichofanya Chelsea na mwisho Wa siku watacheza uefa mwakani licha ya kukosa top four uingereza. Tuombe uzima na afya tushuhudie kurudiwa kwa historia.
I don't think it matters who manages Madrid. Huu mwaka utakuwa Wa Man city kwenye uefa. Hawa hawashiki mawili concentration yao iko hapo tu so hawata-lose focus kama Madrid ambao wamekuwa motivated na gap yake na Barcelona kupungua too just four point from more than 10 in the last two games. Hapa Madrid watalazimika kukaza kila mechi kwenye LA liga. Kwa hiyo hili litawafanya Madrid kuwa vulnerable to injuries na fatigue just before the match na City hapo tarehe 27 April.

Don't forget ushindi wa Man city utakuwa no slap in a face kwa uongozi Wa city kwa disrespect waliyomfanyia kocha wao Pellegrini na yeye atakuwa amewa-prove wrong kwa kuwa ilionekana city wameshinda kila kitu isipokuwa uefa tu.
Hapana Mimi ninaangalia facts zilizo wazi tu wala Si ushabiki. Binafsi nashabikia Man united ingawa city ni adui yetu united lakini naamini huu mwaka ni wao. Usisahau kwenye robo fainali ni Barcelona tu ndiye aliyepewa fixture ngumu. Hao wengine ilionekana wazi nani atapita.Mkuu unaiongelea game kiupendeleo kiupendeleo Sana, aidha wewe Ni EPL fan au ufuatilii Spanish football or both. Sorry I'm not offending you lakini ukisema la liga itasababisha injuries kwa Real nakataa kwasababu wamefanya great rotation kwenye previous games nimeona kila mtu ameonyesha kwamba anataka kucheza na ndio good news kwa fans. Kwa mfano wameingia nusu fainali bila stoper Wao Varäne aliyekuwa injured au watu Kama Isco, James, Kovavic ambao walikuwa bench Tu. Sababu yako ya pili inakwenda both sides kwani hata Zizou anataka kuwa prove wrong waliomzarau eti Ni kocha wa daraja la pili na Hana experience yoyote
Hapana Mimi ninaangalia facts zilizo wazi tu wala Si ushabiki. Binafsi nashabikia Man united ingawa city ni adui yetu united lakini naamini huu mwaka ni wao. Usisahau kwenye robo fainali ni Barcelona tu ndiye aliyepewa fixture ngumu. Hao wengine ilionekana wazi nani atapita.