Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Droo hii inafanyika leo Ijumaa tarehe 21/04/2017 moja kwa moja kutoka Nyon nchini Uswizi yalipo makao makuu ya UEFA.

Itaanza droo ya Uefa Champions League ( UCL ) kisha kufuatiwa na droo ya Uefa Europa League ( UEL )

Semi Final ya Uefa Champions League
Juventus Vs Monaco
Real Madrid Vs Atletico Madrid
C97eaWeXoAAvwIa.jpg



Semi Final ya UEL
Man Utd Vs Celta Vigo
Lyon Vs Ajax
C97okrxWAAEH1jo.jpg
 
Man utd kama andarletch tuu imetoka kwa shida, hapo kila droo ni shida.
labda ajax, nayo labda lakin. ila now mechi zina zidi kuwa ngumu. kwa hiyo kila sehem nchale tu.
Nadhani angalau Celta Vigo.
 
Arsenal sijui tunakosea wapi!
[emoji28]
kwa hiyo bro huoni kabsa tatizo ni nn!!? hapo nakufananisha na bodi yenu, hivo mpaka saaa hawajui tatizo ni nn. wakat tatizo hilo hilo wanataka walipe mkataba mwingine hahah.
 
Back
Top Bottom