Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

Ni muda wa Top four EPL kuwa watazamaji

United akipangwa na Lyon itakuwa vyema sana
 
C97NZ5WXcAA-b08.jpg
 
utabiri wangu

Real Madrid vs Juventus

Atletico madrid vs Monaco

Au

Real Madrid vs Monaco

Juventus vs Atletico de Madrid



Nitarudi baadae [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
utabiri wangu

Real Madrid vs Juventus

Atletico madrid vs Monaco

Au

Real Madrid vs Monaco

Juventus vs Atletico de Madrid



Nitarudi baadae [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ahaaaa mkuu sasa huu utabiri ni wa kiwango cha kimataifa 😛 😛 😛 😛


Yaan una iclude variables zote
 
Nadhani angalau Celta Vigo.
kina Iago aspas, was was wangu ni kuwa man u hawa utumii vzuri uwanja wao wa nyumbani, this is realy the point where what you get home matters, especially if you beggin your game at home. yaan kama una pga on target 12 unafunga goli 2 tu, then the team is doomed to fail kwa hatua hii, man utd really really needs to change
 
Natamani Real Madrid atoke, moyo wangu utafurahi sana.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
jirani sjakuona kunitolea kashfa kule kwenye jukwaa lenu, nilowaambia mtafeli tu
ni ngum kwa madrid kuchukua UCL mara mbili mfululizo, yeyote atakaye kutana nao ana historical advantage.
 
Back
Top Bottom