bashitegufu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 201
- 117
Usanii mtupu Mzungu mjanja mjanja sana!!!inaezekana kweli but mkuu hauexplain how maana draw imefanyika live kila mtyu ameshuhudia........usije ukawa fan wa chelsea maana hao ndo hulalamika sana kuwa wanaonewa wakiktana na barca....mfano juzi wanadai wahabikiwa barcelona walikua wanashangilia sana hio imewaathiri sana hvyo kuppoteza kwa magoli matatu
Akutane na Man City hivi!!!Bahati yao tu,draw ilikuwa wazi kabisa.
Kwa mfano; wewe ulipenda Barcelona akutane na nani..?
Hata Mimi nilitamani hivyo,Akutane na Man City hivi!!!
Yaan hapa ndo umetaja kimeo kabsa. Kwa style ya soka la barca kwa sasa team nguvu na inayoweza kuleta ushindan ni Bayern Munich. Man city level za kina sevilla , Roma , na Liverpool.. EPL league yetu pendwa tumesaidiwa sana..kufika nusu fainallyAkutane na Man City hivi!!!
SawaYaan hapa ndo umetaja kimeo kabsa. Kwa style ya soka la barca kwa sasa team nguvu na inayoweza kuleta ushindan ni Bayern Munich. Man city level za kina sevilla , Roma , na Liverpool.. EPL league yetu pendwa tumesaidiwa sana..kufika nusu fainally
hahaha so UEFA ni washabiki wa barcelona?Usanii mtupu Mzungu mjanja mjanja sana!!!
Hakuna neno lingine zaidi ya kubahatisha.Mkifungwa nyinyi ndio kubahatisha? si walicheza mechi 2 na nyinyi hiyo pia ni bahati. basi mkuu wengine bahati tu nyinyi hapana.
Ile tekniki ya vipira vya moto na baridi imeumbuliwa..sidhani kama watakua wameacha..lazma kuna janja ingine tu..epl ina timu mbili na zimekutana,la liga 3 hazijakutana..baada ya kuona madrid ni kimeo wameamua wamkutanishe na kimeo mwenzie wapige hela mapema..ngoja warumi wamlawiti mtu ndo jasho litawatokahahaha so UEFA ni washabiki wa barcelona?
mkuu achana na wahispania bhana sasa kama Man U wenyew wanafungwa nyumban na sevilla hamna jinsi yankuzisadia timu za EPLIle tekniki ya vipira vya moto na baridi imeumbuliwa..sidhani kama watakua wameacha..lazma kuna janja ingine tu..epl ina timu mbili na zimekutana,la liga 3 hazijakutana..baada ya kuona madrid ni kimeo wameamua wamkutanishe na kimeo mwenzie wapige hela mapema..ngoja warumi wamlawiti mtu ndo jasho litawatoka
mkuu achana na wahispania bhana sasa kama Man U wenyew wanafungwa nyumban na sevilla hamna jinsi yankuzisadia timu za EPLIle tekniki ya vipira vya moto na baridi imeumbuliwa..sidhani kama watakua wameacha..lazma kuna janja ingine tu..epl ina timu mbili na zimekutana,la liga 3 hazijakutana..baada ya kuona madrid ni kimeo wameamua wamkutanishe na kimeo mwenzie wapige hela mapema..ngoja warumi wamlawiti mtu ndo jasho litawatoka
yaan tena ushukuru angalau Epl itapata team moja nusu fainali..Ile tekniki ya vipira vya moto na baridi imeumbuliwa..sidhani kama watakua wameacha..lazma kuna janja ingine tu..epl ina timu mbili na zimekutana,la liga 3 hazijakutana..baada ya kuona madrid ni kimeo wameamua wamkutanishe na kimeo mwenzie wapige hela mapema..ngoja warumi wamlawiti mtu ndo jasho litawatoka
Lakini msimu uliopita walimtoa Barcelona nusu fainali, na Barcelona hakuwa bingwa mtetezi, bingwa mtetezi alikuwa Real Madrid.Juve anapewaga kibarua cha kuvua ubingwa wa mtetezi na kumvisha bingwa mpya.
Sijui yeye atavishwa na kuvuliwa lini.
Madrid mjiandae mnyoa kipara kawasili.
sijui ingekuaje maana epl timu zote zipo below standardDah EPL wamebahatika. wamezawadiwa nafasi ya nusu fainali na UEFA.
Walikua watuekee tu Barca vs Man city na Buyern vs Liverpool.
Juve anapewaga kibarua cha kuvua ubingwa wa mtetezi na kumvisha bingwa mpya.
Sijui yeye atavishwa na kuvuliwa lini.
Madrid mjiandae mnyoa kipara kawasili.