Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

inaezekana kweli but mkuu hauexplain how maana draw imefanyika live kila mtyu ameshuhudia........usije ukawa fan wa chelsea maana hao ndo hulalamika sana kuwa wanaonewa wakiktana na barca....mfano juzi wanadai wahabikiwa barcelona walikua wanashangilia sana hio imewaathiri sana hvyo kuppoteza kwa magoli matatu
Usanii mtupu Mzungu mjanja mjanja sana!!!
 
Yaan hapa ndo umetaja kimeo kabsa. Kwa style ya soka la barca kwa sasa team nguvu na inayoweza kuleta ushindan ni Bayern Munich. Man city level za kina sevilla , Roma , na Liverpool.. EPL league yetu pendwa tumesaidiwa sana..kufika nusu fainally
Sawa
 
Mkifungwa nyinyi ndio kubahatisha? si walicheza mechi 2 na nyinyi hiyo pia ni bahati. basi mkuu wengine bahati tu nyinyi hapana.
Hakuna neno lingine zaidi ya kubahatisha.
 
hahaha so UEFA ni washabiki wa barcelona?
Ile tekniki ya vipira vya moto na baridi imeumbuliwa..sidhani kama watakua wameacha..lazma kuna janja ingine tu..epl ina timu mbili na zimekutana,la liga 3 hazijakutana..baada ya kuona madrid ni kimeo wameamua wamkutanishe na kimeo mwenzie wapige hela mapema..ngoja warumi wamlawiti mtu ndo jasho litawatoka
 
mkuu achana na wahispania bhana sasa kama Man U wenyew wanafungwa nyumban na sevilla hamna jinsi yankuzisadia timu za EPL
 
yaan tena ushukuru angalau Epl itapata team moja nusu fainali..

maana wangekutanishwa na team nyingine huenda wangetoka woote
 
Juve anapewaga kibarua cha kuvua ubingwa wa mtetezi na kumvisha bingwa mpya.
Sijui yeye atavishwa na kuvuliwa lini.
Madrid mjiandae mnyoa kipara kawasili.
Lakini msimu uliopita walimtoa Barcelona nusu fainali, na Barcelona hakuwa bingwa mtetezi, bingwa mtetezi alikuwa Real Madrid.
 
Back
Top Bottom