Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Hapa uingereza wamewasaidia lasivyo mwaka huu wasingeingiza timu nusu fainali
Kwa timu ipi hapo ambayo ingezisumbua Man City na Liver? Sema uefa wameamua timu za Uingereza zisikutane fainali.
 
Malizia basi mliwapiga 4-3.

Nakuambia tena Liverpool hana ubavu wa kumtoa city robo fainal.

Kama ni Mtoto, Liverpool ya Sasa bado ni mtoto aliye na masalia ya maziwa-maziwa ya mama.
Punguza dharau brother, Man City kweli yuko vizuri. Usitegemee 5 tena Etihad.
 
SIO kupangiwa km ujanza juzi kuangalia UEFA utakuwa unajua toka misimu ya zamani timu za England zilikuwa zinatoboa hadi 16 bora au robo zikiwa 3 au 4 uefa lazima wawapange zenywe kwa zenyewe kuzipunguza
Kweli kabisa, ndo Uingereza wameamua kujitoa EU.
 
Nimecheka sana japo ni ukweli. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah EPL wamebahatika. wamezawadiwa nafasi ya nusu fainali na UEFA.

Walikua watuekee tu Barca vs Man city na Buyern vs Liverpool.
Tena hapa naona mechi ngumu na ya kutazamwa zaidi na sana ni Liver na MCI, nyingine zote ni vimeo.
 
Hakuna wa kumfunga man city pale..na liver angebabaishwa labda na bayern tu..hao mbuzi wengine wote liver akiyakamia maji hawatoki
Kweli, na Liver wa kumpunguza speed na kumsumbua ni Man City tu, akivuka hapo, hao wengine chakula chao.
 
Real Madrid safari yenu imeishia kwa Juventus kwenye hatua hii ya mtoano kihistoria Madrid kaondolewa Mara kibao Mara ya mwisho Madrid aliondolewa nusu fainali na Juve ikiwa na wakina Morata,Pogba,Tevez n.k na fainali juve akacheza na Barcelona
Akafungwa na Barca, akamtoa nusu fainali Barca akafungwa na R. Madrid[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwambie huyo mbona sisi hatulii lii game ya kwanza key player mane kapewe red card mapema sana ndio tukafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…