Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Hapa uingereza wamewasaidia lasivyo mwaka huu wasingeingiza timu nusu fainali
Kwa timu ipi hapo ambayo ingezisumbua Man City na Liver? Sema uefa wameamua timu za Uingereza zisikutane fainali.
 
Malizia basi mliwapiga 4-3.

Nakuambia tena Liverpool hana ubavu wa kumtoa city robo fainal.

Kama ni Mtoto, Liverpool ya Sasa bado ni mtoto aliye na masalia ya maziwa-maziwa ya mama.
Punguza dharau brother, Man City kweli yuko vizuri. Usitegemee 5 tena Etihad.
 
SIO kupangiwa km ujanza juzi kuangalia UEFA utakuwa unajua toka misimu ya zamani timu za England zilikuwa zinatoboa hadi 16 bora au robo zikiwa 3 au 4 uefa lazima wawapange zenywe kwa zenyewe kuzipunguza
Kweli kabisa, ndo Uingereza wameamua kujitoa EU.
 
Ile tekniki ya vipira vya moto na baridi imeumbuliwa..sidhani kama watakua wameacha..lazma kuna janja ingine tu..epl ina timu mbili na zimekutana,la liga 3 hazijakutana..baada ya kuona madrid ni kimeo wameamua wamkutanishe na kimeo mwenzie wapige hela mapema..ngoja warumi wamlawiti mtu ndo jasho litawatoka
Nimecheka sana japo ni ukweli. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah EPL wamebahatika. wamezawadiwa nafasi ya nusu fainali na UEFA.

Walikua watuekee tu Barca vs Man city na Buyern vs Liverpool.
Tena hapa naona mechi ngumu na ya kutazamwa zaidi na sana ni Liver na MCI, nyingine zote ni vimeo.
 
Hakuna wa kumfunga man city pale..na liver angebabaishwa labda na bayern tu..hao mbuzi wengine wote liver akiyakamia maji hawatoki
Kweli, na Liver wa kumpunguza speed na kumsumbua ni Man City tu, akivuka hapo, hao wengine chakula chao.
 
Real Madrid safari yenu imeishia kwa Juventus kwenye hatua hii ya mtoano kihistoria Madrid kaondolewa Mara kibao Mara ya mwisho Madrid aliondolewa nusu fainali na Juve ikiwa na wakina Morata,Pogba,Tevez n.k na fainali juve akacheza na Barcelona
Akafungwa na Barca, akamtoa nusu fainali Barca akafungwa na R. Madrid[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpaka Hapa Umethibitisha Udhaifu Wako Wa Uelewa na Masuala Ya Soccer!

Eti "Filimbi Ya Refa iliwaponya"

Pacha Wa Kauli Hizi ni:-

1) Kapa sio Kipa ilikuwa ni Goli lile...

2) Salama Yake Beki kaucheza, Lakini lilikuwa Goli lile...

3) Pale ingelikuwa pana dakika 2 tu basi wangelirudisha Goli...


Sasa hizo sio Kauli za Kimpira wala hazina Nafasi yoyote Katika Mpira.

Mbona Hamsemi kuwa "Zingepunguzwa Dakika 10 tu pale" Lakini Munakazania Kuwa Zingeongezwa dakika tu..


Kwahiyo Basi Refa angepunguza Dakika 10 tu basi Matokeo Yangesomeka 4 - 1.
Mwambie huyo mbona sisi hatulii lii game ya kwanza key player mane kapewe red card mapema sana ndio tukafungwa
 
Back
Top Bottom