Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Find a Psychiatrist To Cure Your Mental Disorder Before Too Late!

Ni Vigumu Sana Kubishana Na #King_Ngwaba Katika Mambo Ya Soccer Kwani Sio Level Yako Kabisa.

Haya Man City Tumesha Mgegeda 3 kwa Mtungi Ongea Tena Hiyo Mipasho Yako.


Dah Mkuu sio misifa tena iyo 😀😀😀 tunamtaka huyo liver wako tumzibue na pump glisi
 
"Wafurahishe walio Karibu walio mbali watasogea"
 
"Wafurahishe walio Karibu walio mbali watasogea"


Tatizo lako Ulijifanya Unajua Mpira Wakati ukweli Ni Kwamba Sisi Tunafatilia Champion League Wewe ndiyo Kwanza Upo Kindergarten.

Kama nyinyi Mupo Wengi Muliokuwa Munatangaza Kuwa Fainali Watacheza PSG vs MAN CITY.

Kama hujui uliza ufahamishwe Kuwa CL ina wenyewe sio Kina Spurs, Man City na PSG! Hawa Ni Wasindikizaji tu.
 
King Ngwaba!! Wacha kuhisia-hisia Mkuu,

Mpira nimetazama sana sana narudia sana,Mpira ni burudani,furaha,vijembe na mambo ya kufanya mpira uvutie,sasa naona unataka kuchukulia mpira kama vita, hii ni hatari walahi,Nadhani hatua hiyo mimi nishaipita sana,huwezi nikuta nashinda masaa 24 kwa jukwaa la Liverpool,Man United,Arsenal n.k Kama wengi mnavyofanya Jf,wakati Kuna majukwaa kibao waweza kutoa michango yako hata kama ni kiduchu.


Je wanaoshinda majukwaa ya mpira masa a 24 tuamini hawana walijualo tofauti na Mpira...?

Na ingependeza zaidi kama ungetamba kwa mabavu kama mngekuwa mshatinga nusu fainali,kwa ushindi mliopata mechi ya kwanza ni wakupongezwa
Na kila mwanasoka.


Ushabiki wa kandanda sio vita Mkuu...mchezo ni afya, mchezo ni udugu.
 
Naamini Sasa Tutajengeana Heshima Manake Washabiki Wa Barcelona Wataishia Kuiombea Njaa Real Madrid...
Na Kibaya Zaidi Waliamini Kuwa Katika [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Barcelona Ni invincible lakini Wameishia Kugegedwa Na Watoto Wa Pope.
 
Malizia basi mliwapiga 4-3.

Nakuambia tena Liverpool hana ubavu wa kumtoa city robo fainal.

Kama ni Mtoto, Liverpool ya Sasa bado ni mtoto aliye na masalia ya maziwa-maziwa ya mama.

Ujifunze kua na akiba ya maneno, mamaeee!!
 
Semi-final yangu..

Barcelona vs As Roma= Barcelona.

Juventus vs Real Madrid=Real Madrid.

Liverpool vs Man city=Man city.

Bayern Munich vs sevilla=Bayern Munich.
Hongera mtoto wa sheikh yahya[emoji16]
 
Liverpool tutawashangaza sana watu. City kama ni ngumi tutaenda mpaka round ya 12 mimi naamini kabisa. History iko upande wetu hata katika league. Hakuna kuogopa mtu atakayekuja tunaenda naye tu hakuna kuogopa kitu.
Sawa hongera, ila kiboko yenu Man U, mpige wote ila mkija kwenu mnachezea za mbavu kama kawa. RASHFOOOOOOOOOORD....!!!![emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…