King Ngwaba!! Wacha kuhisia-hisia Mkuu,
Mpira nimetazama sana sana narudia sana,Mpira ni burudani,furaha,vijembe na mambo ya kufanya mpira uvutie,sasa naona unataka kuchukulia mpira kama vita, hii ni hatari walahi,Nadhani hatua hiyo mimi nishaipita sana,huwezi nikuta nashinda masaa 24 kwa jukwaa la Liverpool,Man United,Arsenal n.k Kama wengi mnavyofanya Jf,wakati Kuna majukwaa kibao waweza kutoa michango yako hata kama ni kiduchu.
Je wanaoshinda majukwaa ya mpira masa a 24 tuamini hawana walijualo tofauti na Mpira...?
Na ingependeza zaidi kama ungetamba kwa mabavu kama mngekuwa mshatinga nusu fainali,kwa ushindi mliopata mechi ya kwanza ni wakupongezwa
Na kila mwanasoka.
Ushabiki wa kandanda sio vita Mkuu...mchezo ni afya, mchezo ni udugu.