Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Tuombe wakutane ili tujue nani ni bora kwa kumili mpira
Always Barcelona
Pep akipangiwa Barcelona hatacheza hiyo style ya tik taka(refer game ya arsenal vs man city mzunguko wapili)

Real Madrid vs Roma
Barca vs Bayern
Juventus vs Liverpool
Mancity vs Sevilla

Leo kuanzia mida ya saa nane Mchana ndo zitafanyika draw za champions league na Europer league.

Draw hii itafanyika pale Zürich nchini uswisi.

Nani kucheza na nani katika hatua ya nane bora almaarufu robo fainali.

Mimi napendelea draw iwe hivi;

1.Manchester city vs fc barcelona

2.madread vs liverpool

3.Roma vs sevilla

4.Bayern Munich vs juventus

Wewe mdau ungependa draw nani akutane na nani katika nane bora?

Tukutane mida ya saa nane mchana .

Always Barcelona
Pep akipangiwa Barcelona hatacheza hiyo style ya tik taka(refer game ya arsenal vs man city mzunguko wapili)
Anawaonea sana waingereza

Always Barcelona
Pep akipangiwa Barcelona hatacheza hiyo style ya tik taka(refer game ya arsenal vs man city mzunguko wapili)
Anawaonea sana waingereza

Juve vs Liver
Barca vs Bayern
Man city vs Sevilla
Real vs Roma.

Kwa hizo timu zote zilizopita hapo na kwa mpira anaocheza Liverpool, nampa nafasi kubwa sana ya kufika mbali akipangiwa na timu yoyote hapo.
Tumeuona mpira waliocheza Juventus umekuwa wa kujilinda sana hasa akipata goli.
Barca wako wepesi sana kama ukiwamiliki katikati ya uwanja, na ukimpita Umtiti tu hao wengine hawana jipya.
Bayern nao ugonjwa wao kama Barca tu.
Roma hana spidi sana ya kufanya maajabu mbele ya Liverpool.
Madrid timu yao haina maajabu zaidi ya bahati tu, mashambulizi ya kustukiza pamoja na ubora wa Ronaldo katika kufunga unawabebà sana.
Sevilla anaweza akamsumbua Liverpool ila safari hii kama wakikutana tena basi mwisho wa Sevilla ni hapo.
YNWA...
Tukutane fainali.

Back
Top Bottom