Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Umeongea kishabiki zaidi,mimi nilitegemea utaongelea na udhaifu wa Liverpool
 
Umeongea kishabiki zaidi,mimi nilitegemea utaongelea na udhaifu wa Liverpool

Kweli liverpool ina udhaifu, ila unaweza usiyaone sana labda kwakuwa wapinzani aliokutana nao kuanzia hatua ya makundi mpaka 16 bora walikuwa na makosa makubwa zaidi yake. Ila hata ukijaribu kuwaangalia katika mechi za ligi bado utawaona wana mapungufu madogo sana kulinganisha na hao wengine.
Tunawaheshimu wapinzani wetu ila kwa mtazamo wangu naona liverpool wana kila sababu ya kuvuka hatua hii inayokuja hata akipangawia timu ngumu zaidi.
Usisahau kuwa huu ni mtizamo wangu binafsi.
 
Sio udhaifu mdgo Tu Liverpool ina udhaifu mkubwa tena sana
Labda nikuambie kitu kumfunga Porto 5-0 sio kipimo cha UCL,na pia ukiangalia Liverpool tangu ilipotoka hatua ya makundi mpaka round ya16 haijakutana na mbabe hata moja.

Naomba nikuulize swali kati ya Liverpool na Barcelona au Bayern ni timu ipi ina ukuta mzuri?
 
Natamani sana tukutane na timu ambayo hatujawai kukutananayo..maana tayari mashabiki washaanza tanta zao mara ooh Barca hamuezi Liver,, kwa blauzi walianza hivyo hivyo at end of the day wakapata kichapo kizuri sana kutoka kwa mfalme.

BARCA & LIVERMASIKINI,,, wakwanza kupeleka mahari
 
Barcelona hii ya juzi,kwangu mimi bado inanipa wasi wasi.
 
Tabiri yangu!!! Ya mechi

Liverpool vs Juventus.

Real Madrid vs As Roma.

Barcelona vs sevilla.

Bayern Munich vs Man city.


Natamani Barca wakutanishwe na vile vitoto vya malkia i mean Livermasikini..maana kelele zishaanza tayali,,,

My prediction:

Barcelona____Liverpoor
Real madrid____Roma
Man city____juve
Bayern munich____sevilla
 
Kam kawaida muda si muda draw itapangwa tu

Barcelona iwe isiwe anapangwa na Liverpool ili apite akutane nusu fainali na timu atakayoitoa ili acheze fainali na man city

Plz uzii huu usifutwe na usiunganishwe

Muone utabiri wangu
 
Naona wadau wengi humu ni madridista na wanaomba apangiwe mchekea Roma, huku wakiombea Barca apangiwe kigongo ili atoke
 
Utabiri wangu
Man city atakutana na barca au madrid.
Juve vs sevila
Liverpool vs Roma
Buyern vs mmoja kati ya barca au madrid.
 
Natamani Barca wakutanishwe na vile vitoto vya malkia i mean Livermasikini..maana kelele zishaanza tayali,,,

My prediction:

Barcelona____Liverpoor
Real madrid____Roma
Man city____juve
Bayern munich____sevilla
Sawa-sawa,
Kwangu mimi,Liverpool hawezi mfunga Barcelona!!

Fan's wa Liverpool hapo bongo ambao wengi wao ni wazee au wahenga wanatamba kwamba wapo vyema,kwamba yeyote mbele yao kichwa chake halali yao.

Liver hii Mimi naona bado,ukali wao walau upo mbele,katikati, nyuma si imara sana.
 
Man City na Liver si wanatoka ligi moja kuna uwezekano wa kukutana kweli?? Au ile sheria inafanya kazi kwenye hatua ya makundi tu??
Inafanya kazi kwenye hatua ya makundi na kwenye 16 bora.
 
liverpool anacheza na yeyote anayefunguka... mpaki bus man utd ndie msumbufu kwake
 
Nategemea fixture hizi zitokee:

Bayern Vs Man City

Barcelona Vs Madrid AU Barca Vs Man City

Juve Vs Madrid


Moja wapo itajitokeza!!
 
sevilla v/s bayern
juventus v/s barcelona
roma v/s man city
real v/s liverpool
hivyo tu
 
Naona wadau wengi humu ni madridista na wanaomba apangiwe mchekea Roma, huku wakiombea Barca apangiwe kigongo ili atoke
Sidhani,labda wanao endeshwa na mihemuko ya kishabiki.

Wengine tumetoa tabiri zetu tu (kama upatu vile).

Kwa mfano Mimi,Nina timu moja tu ulimwenguni Man United.hivyo hizo zilizobaki katika mchuano sina ubia nazo,yangu ni macho tu kutazama burudani.
 
Madrid wampe Roma maana walimjaribu kwa psg wameona kilichotokea,which means Madrid hapigiki kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…