barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hii sio fainali. Ni home na away! Ni robo fainli kati ya juve na real.unajua kisasi kwenye mpira kinazingatiwa sana, na fainali ni mech moja tena ugenin
Mkuu acha uwongo roma na sevilla wana mpira gani wa kuwatoa man city na liverpool....Hapa uingereza wamewasaidia lasivyo mwaka huu wasingeingiza timu nusu fainali
Umeungwa hahaKam kawaida muda si muda draw itapangwa tu
Barcelona iwe isiwe anapangwa na Liverpool ili apite akutane nusu fainali na timu atakayoitoa ili acheze fainali na man city
Plz uzii huu usifutwe na usiunganishwe
Muone utabiri wangu
Haha mkuu tuliza ball.. mpira unachezwa uwanjani dk 90 na sio jf jukwaa la spotsi hahaMkuu mimi Liver na sio kama naogopa kitu ningependa yoyote sawa tu lakini City si kama ndugu namuonea huruma kumpiga mdogo wangu lakini sina la kufanya inabidi nifundishe dogo heshima kidogo. Tuheshimiane
mkuu wamewabeba kivip sasa ni droo imefanyika si kwamba wenyew UEFA wameamua bhanaDah!hao UEFA mbona Barca wamewabeba
We jamaa kila utabiri wako hautimii.Kam kawaida muda si muda draw itapangwa tu
Barcelona iwe isiwe anapangwa na Liverpool ili apite akutane nusu fainali na timu atakayoitoa ili acheze fainali na man city
Plz uzii huu usifutwe na usiunganishwe
Muone utabiri wangu
Ukweli wako wewe ni upi? Ulitaka liver apangwe na Sevila na Roma na man city mbona ujawasema juve, barce. Madrid na Buyern. Afu kumbka 2015 liver alipigwa na sevila europa final na huyo Roma waulize kilichowakuta wazee wa darajani kwenye makundi. Ko wewe unavyowa underdog sevila na Roma sio kua ni ukweli.Mkuu acha uwongo roma na sevilla wana mpira gani wa kuwatoa man city na liverpool....
Hahaha!!We jamaa kila utabiri wako hautimii.
Hamna bwana team za Spain zinabebwa haswa Barcelonamkuu wamewabeba kivip sasa ni droo imefanyika si kwamba wenyew UEFA wameamua bhana
Bahati yao tu,draw ilikuwa wazi kabisa.Dah!hao UEFA mbona Barca wamewabeba
Weee hapana, watoto wa zidane wakiwa wPi labdaTukutane fainali barca vs bayern
inaezekana kweli but mkuu hauexplain how maana draw imefanyika live kila mtyu ameshuhudia........usije ukawa fan wa chelsea maana hao ndo hulalamika sana kuwa wanaonewa wakiktana na barca....mfano juzi wanadai wahabikiwa barcelona walikua wanashangilia sana hio imewaathiri sana hvyo kuppoteza kwa magoli matatuHamna bwana team za Spain zinabebwa haswa Barcelona
Mkuu una Mawazo kama yangu na nimeandika comment kule kwenye uzi wa barcaTukutane fainali barca vs bayern