Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Tuache history mechi ya mwisho si tuliwapiga 4 hawa au sio wao
Malizia basi mliwapiga 4-3.

Nakuambia tena Liverpool hana ubavu wa kumtoa city robo fainal.

Kama ni Mtoto, Liverpool ya Sasa bado ni mtoto aliye na masalia ya maziwa-maziwa ya mama.
 

Attachments

  • DYZ-UCBX4AcDeFy.jpg
    DYZ-UCBX4AcDeFy.jpg
    68.8 KB · Views: 59
  • DYZ-FtaW0AE9vCX.jpg
    DYZ-FtaW0AE9vCX.jpg
    54.3 KB · Views: 68
  • DYZ9dQ1W0AEKOQr.jpg
    DYZ9dQ1W0AEKOQr.jpg
    32.7 KB · Views: 59
kila wakipangiwa wahispania wanakula vipgo,leo wamewapanga waingereza kwa waingereza tena malalamiko

SIO kupangiwa km ujanza juzi kuangalia UEFA utakuwa unajua toka misimu ya zamani timu za England zilikuwa zinatoboa hadi 16 bora au robo zikiwa 3 au 4 uefa lazima wawapange zenywe kwa zenyewe kuzipunguza
 
Aise utabiri wetu kwishne, wamewaua waingereza, sijapenda kabisa
 
Makosa hayajirudii kivipi mkuu..?
Katika mechi zote mbili tulizokutana nao, kulijitokeza makosa mengi tu.
Mchezo wa kwanza tulipotea kuanzia beki mpaka viungo.
Mchezo wa pili tulikuwa sawa kwenye beki hadi kiungo kabla ya mabadiliko ya kocha kutokea.
 
Wamewaua waingereza, sijapenda kabisa, ubashiri wangu kwishne
 
Safari ya waingereza (ndg zetu wa damu kabisa hawa)
Group stage 5 Teams EXCELLENT
last 16 5 Teams EXCELLENT
quarter Final 2 Teams NOT BAD
Semi final. 1 Team Poor
final??????????
 
awa wazee chielin na buffon naona mwisho wao mapeeema
 
Back
Top Bottom