Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

Mtetemko vp mkuu kwani nani kaonewa?

Ulitaka team yako ipewe team gani?

Iache ipambane tu kiume
Mkuu mimi Liver na sio kama naogopa kitu ningependa yoyote sawa tu lakini City si kama ndugu namuonea huruma kumpiga mdogo wangu lakini sina la kufanya inabidi nifundishe dogo heshima kidogo. Tuheshimiane
 
Liverpool tutawashangaza sana watu. City kama ni ngumi tutaenda mpaka round ya 12 mimi naamini kabisa. History iko upande wetu hata katika league. Hakuna kuogopa mtu atakayekuja tunaenda naye tu hakuna kuogopa kitu.
Historia ipo ili ivunjwe,hatuishi kwa wakati uliopita tunaishi katika wakati uliopo.

Liverpool naapa hawezi mtoa man city.
 
kila wakipangiwa wahispania wanakula vipgo,leo wamewapanga waingereza kwa waingereza tena malalamiko
Hapana Real na Sevilla wa kawaida sana, Huyo Real si alipigwa 3 na Spurs au sio wao.
 
Rosicky-Arsenal-Instagram-post-546991.jpg
 
Historia ipo ili ivunjwe,hatuishi kwa wakati uliopita tunaishi katika wakati uliopo.

Liverpool naapa hawezi mtoa man city.
Tuache history mechi ya mwisho si tuliwapiga 4 hawa au sio wao
 
Tuache history mechi ya mwisho si tuliwapiga 4 hawa au sio wao
Kwao waliwapiga ngapi?
mliwafunga 4-3 na mlikuwa mnapumulia mashine, tuwe wakweli, filimbi ya refa iliwaponya! So kwa away goals nani angesonga??
 
Timu za england zimepangwa zitoane zenyewe, hapo ingependeza madrid apangwe na man city alafu liverpool na juventus au vise versa.
Hata mimi sijaipenda hiii... Ila ishara nzuri kwa waingereza nahakika timu itakayo pita ndio atakuwa champion
 
madrid akichomoa hapa kwangu atakuwa bingwa hata asiponyanyua ndoo
 
Back
Top Bottom