Drop Your Fav line from african artists

Drop Your Fav line from african artists

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Ebwanaaa eeh weekend moja kabambe sana ,kila mmoja anaianza kwa aina yake

Sisi wasakatonge tunaendelea kuchakarika kama kawaida,,, huku tunachokipata kikiwa ni kidogo kuliko tunachokitafuta...Lakini ashukuriwe Jalali

Lakini hii haiturudishi nyuma kuburudika tukipata nafasi ya kuburudika na sisi wapenzi wa muziki tuna vionjo vyetu

Ebu leo weka mstaari wowote unaokubali kutoka kwa miamba ya Africa iwe zamani au Sasa hivi

Kwa upande wangu

"And i can be your Violin, play to you all night long ...
i can be your aladin give you all my world" -

BY DIAMOND PLATNIUM song ABI


"Man i thank god i godly, Say god, no ungodly"

By omalay song Godly

Tiririka mdau
 
Am Young and am ready ain't scared am bold- by olamide


Marafiki wasaliti nitawadiss siku zote- by msodoki

Kama huna akili pesa unazipataje...?- msodoki
 
Am Young and am ready ain't scared am bold- by olamide


Marafiki wasaliti nitawadiss siku zote- by msodoki

Kama huna akili pesa unazipataje...?- msodoki
naona msodoki katawala ... fundi
 
Back
Top Bottom