22nd
JF-Expert Member
- Aug 1, 2010
- 494
- 137
Hello, mara nyingi nimewaona na nakusikia watu wakikosa usingizi na kukaribia kupata kichaa kwa ajili ya kupoteza files baada ya Computer zao kupata virus, kuharibika au kupoteza USB key.
kwa wale ambao hawajaanza kutumia au hawajui, haujachelea, save all ur documents kwenye drop box, where u can access all ur files in any Computer,mobile anywhere in this world bila ya kubeba ur home, office PC.
nawakilisha.:msela: