babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Afadhali kuliko misaada ya chakula,Nimeshasikia wakisamehewa Madeni Karne Hii kwa kushindwa kulipa.
Hadi Russia wanataka kutoa misaada ya chakula kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali kuliko misaada ya chakula,Nimeshasikia wakisamehewa Madeni Karne Hii kwa kushindwa kulipa.
Kumbe mnajijua watanzania ni zero brainEndelea kutype ujinga alafu ukiambiwa uthibishe unakimbia,
Levo zako ni jukwaa la udaku.
Asante sana kw ku change gearHiyo pesa kawalipe nayo fidia watu wa kericho walionyanganywa mashamba yao na wazungu na hakuna kitu serikali yenu imewafanya hao wazungu.
Ungekuwa na akili ungeelewa kilichoandikwa hapo ila kwa sababu akili yako ni fupi huwezi kuelewa ndio maana nikakuambia levo yako ni jukwaa la udaku.
Km hujui basi huaga we ndio upo upo tu, hakuna siku uta stick kw mada...kazi vi emoji na kuruka ruka tu..Ungekuwa na akili ungeelewa kilichoandikwa hapo ila kwa sababu akili yako ni fupi huwezi kuelewa ndio maana nikakuambia levo yako ni jukwaa la udaku.
Korokoro bado siku ngapi kuingia mwakani ? Kazi ya kuhesabu ni yenu wasomeshwa namba
Unataka nistick kwenye udaku wako ili iweje.Km hujui basi huaga we ndio upo upo tu, hakuna siku uta stick kw mada...kazi vi emoji na kuruka ruka tu..
Sent using Jamii Forums mobile app