nina mda wamiezi 6 tokea nimeanza kutumia drugs yani (unga) sasa nataka kuacha bt siku nisipo vuta drugs mwili uwa unaniuma sana na hi inachukua mda wa 7 days mbaka kuja kukaa sawa na kurudi katika hali ya kawaida jamani ndugu na marafiki je mnanishauri nitumie kitu gani ili kinipunguzie maumivu ya mwili kwa mda hu...
mh!pole
mi mwenyewe muhanga
ngoja nione msaada tutapata wapi lol!
mh!pole
mi mwenyewe muhanga
ngoja nione msaada tutapata wapi lol!
Mhhhh!r u serious PL?Pole..fuateni maelekezo hapo juu