drugs zinanisumbua

drugs zinanisumbua

mrbean

New Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
1
Reaction score
0
nina mda wamiezi 6 tokea nimeanza kutumia drugs yani (unga) sasa nataka kuacha bt siku nisipo vuta drugs mwili uwa unaniuma sana na hi inachukua mda wa 7 days mbaka kuja kukaa sawa na kurudi katika hali ya kawaida jamani ndugu na marafiki je mnanishauri nitumie kitu gani ili kinipunguzie maumivu ya mwili kwa mda hu...
 
Pole na matatizo hayo .kama uko USA nenda Dpt of health management angalia options .kuna Rehab Za Serikali .Tanzania I don't know .
 
Samahani, sina msaada wa kukuambia zaidi ya kwenda rehab. Lkn naomba kuuliza kwa benefit ya wengi; ulianzaje anzaje kutumia hizo drugs?

Nimefurahi umelileta humu tatizo lako maana huenda kuna waliokwisha tumia hata kama sio aina moja na wameacha.
 
Uje muhimbili kitengo cha methadone utasaidiwa vyema,kuna watu wengi wenye tatizo kama lako wamesaidiwa ktl issue ya alcohol withdrawal process bila matatizo ya kiafya
 
Mkuu pole sana,pale muhimbili kuna kitengo kinachoshughulika na watu ambao wameathirika na dawa za kulevya,na kuna dawa ambayo inaitwa methadone waathirika hawa hupewa kwa ajili ya kupunguza arosto yaani withdrawal syndrome,nakushauri uende hapo,wahusika watakupokea na baada ya assessment na taratibu kukamilika watakuingiza kwenye programme,we ukifika pale muhimbili uliza eti wanapotoa methadone wapi halafu waeleze wahusika shida yako.
 
nilisomaga kwenye blog ya uturn topic ya ray c wengi walitajaga sehemu hizi

Sober house zanzibar hauhitaji mapesa kupona kama vile walisema ni bure, na pia

kwa Dsm waliandika kuna vitengo Muhimbili na Mwananyamala hospital vinavyosaidia watu kama nyie pia.

Pole natumaini utapata suluhisho mapema.
 
Uko mkoa gani?kama uko dar Nenda pale Muhimbili kuna kitengo kinachosaidia wale wanaotumia madawa ya kulevya.mbali na kukupa ushauri na vipimo, pia watakupa dawa inaitwa methadone ambayo inasaidia kuondoa hizo withdrawal symptoms
nina mda wamiezi 6 tokea nimeanza kutumia drugs yani (unga) sasa nataka kuacha bt siku nisipo vuta drugs mwili uwa unaniuma sana na hi inachukua mda wa 7 days mbaka kuja kukaa sawa na kurudi katika hali ya kawaida jamani ndugu na marafiki je mnanishauri nitumie kitu gani ili kinipunguzie maumivu ya mwili kwa mda hu...
 
nina mda wamiezi 6 tokea nimeanza kutumia drugs yani (unga) sasa nataka kuacha bt siku nisipo vuta drugs mwili uwa unaniuma sana na hi inachukua mda wa 7 days mbaka kuja kukaa sawa na kurudi katika hali ya kawaida jamani ndugu na marafiki je mnanishauri nitumie kitu gani ili kinipunguzie maumivu ya mwili kwa mda hu...

hapo kwenye red! yaani kama unaweza kukaa siku 7 (japo kwa maumivu) bila kuvuta na unarudi katika hali ya kawaida sasa unashindwaje kuacha!
 
Back
Top Bottom