Drywall na ujenzi wa kisasa

Drywall na ujenzi wa kisasa

Siko hapa kibiashara. Na hiyo kauli yangu haimaanishi watu waache kuingiza iphones Tanzania.

“Wabongo tuache kuingiza iphones kutoka nje” hayo maneno yameandikwa na nani? Kama unatangaza biashara tangaza vizuri utapata wateja.
 
Hata ukiona wameweka tofali za kuchoma nje ndani ni drywall tupu. Tena drywall inawekwa hata nyuma ya hizo tofali za kuchoma.

Na mara nyingi tofali zinawekwa ukuta wa mbele tu, kuta za pembeni na nyuma wanaweka kitu kinachoitwa siding kwa nje na ndani ni drywall.
 
700f62ee796289afb0bdd89ecb6f7fb6.jpg
 
Ndio maana inatumika kwa kuta za ndani tu.Party walls.

Mwizi anaeweza kutoboa ukuta huu hashindwi kuvunja nondo za mlangoni au dirishani. Kumbuka itabidi akate hiyo drywall atoe malapulapu ya ndani ya huo ukuta, akate mbao amalizie na kukata drywall ya upande wa pili.
 
Hata ukiona wameweka tofali za kuchoma nje ndani ni drywall tupu. Tena drywall inawekwa hata nyuma ya hizo tofali za kuchoma.

Na mara nyingi tofali zinawekwa ukuta wa mbele tu, kuta za pembeni na nyuma wanaweka kitu kinachoitwa siding kwa nje na ndani ni drywall.
sasa niweke tofali za kuchoma halafu niweke tena hio dry wall, kusudio lake nini hasa? mimi nilifikiri dry wall tunaepuka kutumia tofali.
 
Hayo makitu ndiyo yanawekwa ndani ya drywall.
8929bf1a0f795837ac5e072bf1d88d1c.jpg
Halafu unajua hayo makitu yanawekwa ya nini? Hayo yanawekwa sana kuzuia baridi, hii teknolojia ipo sana nchi za Ulaya ambako kuna baridi.

Hata ukuta wa kawaida wanaotumia matofali ya kuchoma wana design ya cavity wall basically ni kuta mbili na nafasi katikati wanayojaza insulation materials. Mkuu hizo teknolojia za Ulaya zinaweza zisifae kwenye joto kama la Dar.
 
sasa niweke tofali za kuchoma halafu niweke tena hio dry wall, kusudio lake nini hasa? mimi nilifikiri dry wall tunaepuka kutumia tofali.

Hapo tofali zinawekwa kwa mapambo kama ambavyo watu wanaweka tiles au chipping kwenye kuta za nje. Ndio maana wanaweka ukuta wa mbele tu.
 
Hapo tofali zinawekwa kwa mapambo kama ambavyo watu wanaweka tiles au chipping kwenye kuta za nje. Ndio maana wanaweka ukuta wa mbele tu.
Sasa ndugu yangu, ujenzi wetu wengi tunabana matumizi. Wewe unasema dry wall ni nafuu, sasa najenga ukuta nafuu wa dry wall ili kuepuka matofali halafu nachukua tena matofali naweka kwa nje kama mapambo! Nakuwa nimefanya nini hapo? Au ni toys mfano wa tofali?
 
Back
Top Bottom