Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Soko la Hisa Dar es salaam limevamiwa rasmi na matapeli wa Kimataifa.
Hawa matapeli wanaweka Page za Insta na Fb na wanataka ufuatw link wakufundisgw namna ya kununua Hisa.
Hawa matapeli hakuna hata mmoja mwenye jina la Kitanzania, hakuna namba ya simu wala ofisi zilipo hata kama ni kwenye apartment.
ONYO /TAHAFHARI
Kama unataka kununua hisa, mpigie simu wakala wako (Broker) au fuata page za watu kama MWALIMU EMILIAN BUSARA, Victor Busara, Edmund Muyagi, na wengine wengi wana “Open page za watsup, wana namba za simu, mnaweza kukutana lakini nj CFE (Certifief Finance Eduactor ) na wwna vyeti vya BOT na DSE.
WATANZANIA nawaita mara 3, achaneni na hayo ma page ya hackers, tena ziripoti hizo pages, naomba TCRA nao watusaidie kuzifunga.
Mpuuzi mmoja mpaka anaandika CRDB CEMENT.

Attachments
-
IMG_2342.png2.3 MB · Views: 24 -
IMG_2341.png2.4 MB · Views: 20 -
IMG_2340.png2.1 MB · Views: 21 -
IMG_2327.png2.4 MB · Views: 19 -
IMG_2346.jpeg497.9 KB · Views: 20 -
IMG_2345.jpeg508.4 KB · Views: 18 -
IMG_2344.png2.6 MB · Views: 19 -
IMG_2343.jpeg767.3 KB · Views: 19 -
IMG_2342.png2.3 MB · Views: 20 -
IMG_2341.png2.4 MB · Views: 18 -
IMG_2340.png2.1 MB · Views: 20