DSM : Alikiba alivyowakutanisha watu maarufu Afrika Mashariki

DSM : Alikiba alivyowakutanisha watu maarufu Afrika Mashariki

Kingwangalla ametoa offer ya gharama za hotel yeyote watakayochagua kwenda kufanya fungate; ni muhimu ahakikishe kuwa anaweka risiti atakayolipia gharama hizo kwani huko mbele anaweza kuja kuulizwa iwapo atachomoa kwenye kasma ya ofisi!!!
 
Watu maarufu Afrika mashariki?

Mbona sijaona wawakilishi wa Uganda, Rwanda, Kenya na Burundi?
 
Acha ukali basi umuibie nani watu wanaficha sana kamba zao,au unanasanayo mkononi


Ha haaaa. Sio lazima ununue..unaweza ukaiba. Au atumie shuka lake kujinyonga!
 
Back
Top Bottom