Huwezi kuamini hizi Tram zilijengwa miaka 100 iliyopita na walianza na mipango mijiTafadhali, tumesikia tangazo kwamba mnataka kujenga mfumo wa reli kuzunguka DSM nzima, binafsi sijaelewa wanajenga mitaruma ya mireli ili tuwe na tram zinazotembea kwenye makokoto katikati ya mji au wanajenga mfumo wa trams kama nchi zingine. naomba kutoa tahadhari hii manake bongo kwa upigaji usijestuka wamekuwekea mataruma kama ya reli ya tazara katikati ya mji, manake kikubwa usafiri upo. ili kupendezesha mji na kuwa kisasa, tunaomba wekeni mfumo wa modern trams. tukiwa wakweli, hata hiyo SGR hadi dodoma, inarahisisha usafiri ila ukiweka na kwengine una ona kwetu bado ni SGR ya third world country. tuna kila kitu hatushindwi kujenga kitu bora. Mungu awasaidie. tunataka vitu kama ivi hapa.
View attachment 3519147
View attachment 3519148
nchi kama za ulaya zilianza hii miaka mingi sana, kwa waliofika Lisbon, SPAIN au italia, zipo kongwe mno. ni kweli, walianza na mipango mingi, ila hata sisi kwa dsm ilivyo, tunaweza. mbona mwendokasi ilifanikiwa?Huwezi kuamini hizi Tram zilijengwa miaka 100 iliyopita na walianza na mipango miji
Mkuu mwendokasi imefanikiwaje ?nchi kama za ulaya zilianza hii miaka mingi sana, kwa waliofika Lisbon, SPAIN au italia, zipo kongwe mno. ni kweli, walianza na mipango mingi, ila hata sisi kwa dsm ilivyo, tunaweza. mbona mwendokasi ilifanikiwa?
View attachment 3519152View attachment 3519153
tumefanikiwa kujenga "miundombinu ya mwendokasi", achana na uendeshaji hata uwe mbovu cha muhimu ni miundombini, manake akija mwekezaji mwenye akili as long as miundombinu ipo, jambo ni rahisi kuliendesha. miundombinu ya kenya wanahangaika BRT kwao ni ngumu hadi leo.Mkuu mwendokasi imefanikiwaje ?
Maji tu yanawashinda!
Mwendokasi imefanikiwa vipi mkuu?nchi kama za ulaya zilianza hii miaka mingi sana, kwa waliofika Lisbon, SPAIN au italia, zipo kongwe mno. ni kweli, walianza na mipango mingi, ila hata sisi kwa dsm ilivyo, tunaweza. mbona mwendokasi ilifanikiwa?
View attachment 3519152View attachment 3519153
kwa hiyo akili yako yoote ndio imeishia hapo?Upuuzi mtupu,
Nashauri serikali kabla ya kufikiria jambo hilo kwnz wangejikita kumaliza kero sugu za wanainchi.
-maji
-umeme wa uhakika
-weka lami na taa mitaani
-hospitali dawa za uhakika
-shule za government ziboreshwe.
Hayo mengine hayana umuhimu wowote Kwa wanainchi kwa sasa.