mtimawachi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 2,108 Reaction score 3,155 Jun 16, 2022 #21 Safi sana mkuu, mchango wako katika nchi hii ni mkubwa sana. Hata viongozi (wanasiasa) wakifanya jambo wanakuja kuchungulia humu kama wamevurunda au la.
Safi sana mkuu, mchango wako katika nchi hii ni mkubwa sana. Hata viongozi (wanasiasa) wakifanya jambo wanakuja kuchungulia humu kama wamevurunda au la.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jun 16, 2022 #22 Tushome said: Hiyo 2% kwann msibane huko kwenye madini?? Click to expand... Watu wa madini wao ndio wamesema mbane huku.
Tushome said: Hiyo 2% kwann msibane huko kwenye madini?? Click to expand... Watu wa madini wao ndio wamesema mbane huku.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jun 16, 2022 #23 Mungu aendelee kuwapa hekima, muendelee kuchechemua haki za kiraia.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 16, 2022 #24 Kingsmann said: Kwa maneno machache ni kwamba "MWISHO WA SIKU HII 2% ITAMRUDIA MWANANCHI WA KAWAIDA KWANI HAYO MAKAMPUNI YA NJE HAWATAILIPA HIYO OECD".... Click to expand... Ndiyo ukweli
Kingsmann said: Kwa maneno machache ni kwamba "MWISHO WA SIKU HII 2% ITAMRUDIA MWANANCHI WA KAWAIDA KWANI HAYO MAKAMPUNI YA NJE HAWATAILIPA HIYO OECD".... Click to expand... Ndiyo ukweli
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 16, 2022 #25 Shida ya nchi yetu inaongozwa na watu ambao siyo wabunifu wao wanajua kula pekee