DSTV, aljazeera sports+, canal sat, mytv kwa kutumia azskyG2

DSTV, aljazeera sports+, canal sat, mytv kwa kutumia azskyG2

munjy1

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
564
Reaction score
139
Jee unatumia AZSKY G2 kuanagalia bure madish hayo niloyataja hapo juu?
Kama jibu ndio basi watu wengi wanadhani hizo vifaa zimefungwa ila kufungwa haviwezekani kwa kuwa unatumia subscription kutoka china kupitia simcard yako na kifaa hicho AZSKY G2, kuna watu hawapati huduma hii hawa ndio walengwa hasa kwa kuwa mulipouziwa na watu hivo vitu hawatambui kwamba vinatakiwa lazima ulipie subscription fee kila mwaka china kwa kila kimoja.
Wale wanaotaka kufanyia subscription basi wanaweza kunilipa tsh 35,000 kwa ajili ya subscription ya kila mwaka.
Unachotakiwa kufanya tuma serial number ya device yako hiyo pamoja na email address yako katika 0773044899 na malipo katika tigo pesa 0715044899 na ndani ya masaa 48 nitakutumia email ya software update ambayo pia itakuwa na info za account yako mpya ya mwaka 1 pamoja na maelekeo jinsi ya kuupdate.
Ahsanteni sana
Mimi pia ni reseller wa pdproxy List of Authorized PD-Proxy Resellers
 

Attachments

  • .g2.jpg
    .g2.jpg
    11 KB · Views: 518
  • g2.jpg
    g2.jpg
    7.7 KB · Views: 181
mkubwa hizo decorder zikoje na gharama yake ikoje na uhakika wa hizo station ukoje?
 
Azysky g2 mimi siuzi ila narenew subscription kuna watu wanadhani zishafungwa ila hazifungwi, wanaponunua huwa wachina wanaziwekea account za miezi 3 au 6 so ikiisha inabidi urenew sasa bongo watumiaji hawaelewi wanaishia kuvitupa, ila kuna azysky G6 hizo zinafungua sd na hd channels zitakuwa sokoni mwezi wa august kati kati bei ya jumla itakuwa laki 250 rejareja 280 kwa anaetaka aweke order mapema maanawatu wengi washaweka order, for more info google azsky g2 or G6 hizi ni decorder ambazo zinatumia simcard pamoja na dish la fta wapo watu humu wanatumia subiri watacomment tu.
 
itakuwa vyema kwanza utujulishe zinapatikana wapi na ni kwa bei gani?
 
Mkuu Munjy1 naomba uje unipe ufafanuzi nataka kununua hizo decoder za Azysky na unipe ufafanuzi wa ipi ni nzuri na bei yake tafadhali.
 
Tatzo acc ya miez 3, ikiisha wana jamaa warenew kwa bei kubwa sana, pia risk yake hakuna customer care 4 more info
 
Back
Top Bottom