Azysky g2 mimi siuzi ila narenew subscription kuna watu wanadhani zishafungwa ila hazifungwi, wanaponunua huwa wachina wanaziwekea account za miezi 3 au 6 so ikiisha inabidi urenew sasa bongo watumiaji hawaelewi wanaishia kuvitupa, ila kuna azysky G6 hizo zinafungua sd na hd channels zitakuwa sokoni mwezi wa august kati kati bei ya jumla itakuwa laki 250 rejareja 280 kwa anaetaka aweke order mapema maanawatu wengi washaweka order, for more info google azsky g2 or G6 hizi ni decorder ambazo zinatumia simcard pamoja na dish la fta wapo watu humu wanatumia subiri watacomment tu.