Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,082
- 2,402
Mkuu 7 na 5 hupati hicho cha 23Hata super sport 12, 7&5 nazo zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu 7 na 5 hupati hicho cha 23Hata super sport 12, 7&5 nazo zipo
Unauzaje bei weka bei ili kila mdau akusome..Kwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani??
Misimu ya ligi za soka ndio hio inaanza
Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Championship na Olympic
Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk
Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi
Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch
[emoji117] Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi
Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi
Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli
Mawasiliano(Call or text)
-0686811173
-0764453848
Sasa wameongezaMkuu 7 na 5 hupati hicho cha 23
Nimeweka bandiko ili kuwasaidia wenzangu na mimi, kulipia 219K kila mwezi sio mchezo.Kama imani iko kwa makaburu basi baki hapo
hicho kibgamuzi chako kinaitwaje mkuuKwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani??
Misimu ya ligi za soka ndio hio inaanza
Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Championship na Olympic
Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk
Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi
Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch
[emoji117] Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi
Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi
Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli
Mawasiliano(Call or text)
-0686811173
-0764453848
23,500 utaishia kuona marudio!! DSTV hawana urafiki na masikini kabisaaaa
hapana kila jumamos kuna mechi moja live,jana tuliona ya everton na spurs.na ya ysngs nayo waliirusha live23,500 utaishia kuona marudio!! DSTV hawana urafiki na masikini kabisaaaa
23,500 utaishia kuona marudio!! DSTV hawana urafiki na masikini kabisaaaa
Uttoh sisi Wa mikoani itakuwajeMkuu vifaa na ufundi ni 380k baada ya hapo hulipii tena.Napatikana Dar kwa sasa.
Channel moja HDNi HD?
Nimeweka bei mkuu angalia hapo juuUnauzaje bei weka bei ili kila mdau akusome..
Na pia hujasema unapatikana wapi??[emoji45] [emoji45]