DSTV ama yeyote, Naomba Kuelewesha Kuhusu Kuona Mpira kwa 23,000

Unauzaje bei weka bei ili kila mdau akusome..
Na pia hujasema unapatikana wapi??[emoji45] [emoji45]
 
Nimeweka bandiko ili kuwasaidia wenzangu na mimi, kulipia 219K kila mwezi sio mchezo.Kama imani iko kwa makaburu basi baki hapo

Sijawahi weka Imani yangu kwa Mtanzania kabla ya kujirizisha. Imani sijaweka kwa kaburu, nimejaribu na ku enjoy service yake Kaka
 
hicho kibgamuzi chako kinaitwaje mkuu
 
zanzibar tv cable unatazama ligi zote kwa 15000 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…