Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nafikiri ni muda sahihi wa kuwaagaMimi nilishajiandaa kisaikolojia,
Kuanzia mwezi huu wa kumi nimgoma kulipa kutokana na malipo yangu ya mwezi uliopita kunitesa kwani voda kila nikiwauliza wanasema muamala umekamilika ndiyo maana wamenitumia sms lakini Dstv wao wanasema hawajapokea malipo hayo.
Mnanifukuza lakini naondoka kwa huzuni kwani huduma zenu na gharama zenu mlizishusha ili mtunyoshe,
19,000 unaangalia serie A tu na akina kanjibai.
Unahitaji uongeze elfu 50 zaidi ili uone La Liga pamoja na EPL. Kwa maisha gani?69,000/= parefu
Local channels ndiyo basi tukomae na TBC tu?
Hiyo kwa south africaKuanzia kesho tarehe 24, Oktoba 2018, Chaneli ya Super Sport 7 (SS7) namba 207 itaanza kupatikana ndani ya kifurushi cha Compact ambacho bei yake ni Tshs. 69,000/= kwa mwezi.
Chaneli hiyo inayoonesha mechi zote za La Liga, ilikuwa inapatikana kwenye kifurushi cha Bomba kwa Tsh 19,000 tu.
Hii itakuwa pigo kubwa kwa wapenzi wa La Liga ambao bila shaka watakuwa wametikiswa na mabadiliko haya.
Hii imekuja miezi michache toka Dstv wafungiwe kuonyesha chaneli za nyumbani, hivyo kufanya kifurushi cha Bomba kutokuwa na mvuto tena.
Nawasilisha.
Ndo wameshapigwa bunKuhusu Local Channels wamefikia wapi?
Ndo wameshapigwa bun