Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Asante kwa ufafanuziHiyo kwa south africa
Kwa bongo inapatikana kuanzia bomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ufafanuziHiyo kwa south africa
Kwa bongo inapatikana kuanzia bomba
Tafuta receiver ya Qsat kama upo Dar na unatumia antena ya kawaida unapata local channelj
Je ukitumia Dish Plus Antenna huwezi kuzipata hizo local Channels?
Tafuta receiver ya Qsat kama upo Dar na unatumia antena ya kawaida unapata local channel
ITV
EATV
CAPITAL
TBC
STAR TV
CHANNEL TEN
TVE
CLOUDS TV
CITIZEN
+
ALJAZEERA
EMMANUEL TV
AFRICAN2 TV
NHK
SAUDIA SPORT
Mwenye nayo ukimpata mapatano tuSh
Shs. Ngapi huo mzigo mkuu?
Akikujibu kama ulivyouliza bila kuzunguka nitagSh
Shs. Ngapi huo mzigo mkuu?
Mwenye nayo ukimpata mapatano tu
Ndio hizo zilikuwa zile za dstv mchepuko baada ya kublokiwa zakawa azina dili tenaKwa hyo dukani hazipatikani hadi nimvue mtu mkuu?
Ndio hizo zilikuwa zile za dstv mchepuko baada ya kublokiwa zakawa azina dili tena
Tafuta mtu aliyopo UAE atakuletea ila bei ndio tatizo mkuuHata Jumia, Amazon,Aliexpress au Alibaba hawana hizo mambo mkuu?