Frankdaniel711
JF-Expert Member
- Oct 8, 2018
- 366
- 140
Kifahamu king'amuzi cha DStv Explora, Gharama zake na kinavyofanya kazi.
DStv Explora ni nini?
Hii ni jamii nyingine ya king'amuzi cha DStv chenye uwezo wa kufanya yafuatayo.
1. Kurekodi kipindi kilichopo live.
2. Kurudisha nyuma tukio
3. Kusimamisha tukio
4. Catch up na
5. Box office
Je naweza kutumia kipindi kilichorekodiwa kwenye media nyingine mf. Flash, CD n.k
✓ Vipindi vyote vilivyorekodiwa vinahifadhiwa ndani ya king'amuzi chako cha Explora na hakiwezi kutumika nje ya mfumo. King'amuzi chako toleo la DStv Explora 3A kina mpaka ukubwa wa terabyte 1 (1000 bg) kwa ajili ya kuhifadhi video zilizorekodiwa
Catch Up ni huduma ya aina gani?
✓ Wakati mwingine kulingana na sababu kadhaa unaweza kukosa vipindi uvipendavyo pindi vinapokuwa hewani. Catch up ni huduma inayokuwezesha kuangalia vipindi kadhaa vilivyokwishaoneshwa. Kupitia catch up unaweza kuangalia season za tamthilia mbalimbali, movies, highlights za mechi, vipindi vya watoto n.k
Na Box office ni nini?
Wakati mwingine tukiwa na familia au marafiki hupendelea kutembelea majumba makubwa ya sinema kwa ajili ya kuangalia movies mpya zinazotoka. Ukiwa na DStv Explora kupitia DStv Box office unapata nafasi ya kukodi movies hizi na usiwe na haja ya kwenda sinema. Nb: Movies moja ni Sh 5750 na utakaa nayo kwa masaa 48
Je nikirudisha nyuma/kusimamisha tukio, kuna athari gani kwa kipindi kinachoendelea
✓ Ukirudisha nyuma/kusimamisha tukio kipindi Kilicho live kitaendelea kama kawaida kwinginepo. Isipokuwa utakuwa na Uhuru wa kuamua, upeleke mbele uende sambamba na kipindi halisi au uendelee kuangalia ukiwa nyuma.
Gharama za kufunga Explora kwa sasa ni kiasi gani?.
✓ Set nzima ya Explora ni Sh 299000, unaletewa mpaka kwako (Dsm) na kufungiwa dish kwa Sh 30000.
Je nikinunua napata ofa ya kifurushi cha kuanzia?
✓ Hapana, kwasasa Ukinunua DStv Explora hakuna ofa ya yoyote ya kifurushi.
Je kama nina king'amuzi cha kawaida nahitaji Explora nifanyaje
✓ Kwakuwa tayari una dish basi utapata decoder pekee ya Explora pamoja na Smart lnb kwa jumla ya Sh 270000. Kama dish limeshafungwa utasetiwa kwa Sh 20000 na kama lipo chini gharama za ufundi ni Sh 30000.
Je vifurushi vya Explora ni tofauti na vinginevyo?
✓ Suala la vifurushi vipo sawa lakini kama ukihitaji kulipia PVR ni Sh 26500 kwa mwezi.
PVR ni nini?
✓ Personal Video Recording ni huduma inayopatikana kwenye DStv Explora ikijumuisha kurekodi, kurewind, kupause na catch up.
Je kama mimi nimenunua Explora hiki kingine (kama kipo) nakifanya nini?
✓ Ukiwa na king'amuzi kinginecho na umenunua Explora, kama una Tv mbili unaweza kuweka mfumo wa Extra View ambapo decoda zote mbili zitakuwa hewani bila malipo ya ziada endapo utalipia malipo ya PVR.kama unaitaji piga 0677423349 utaletewa kama upo Dar es salaam.