INAUZWA DSTV Explora

INAUZWA DSTV Explora

hii huwa naisikia hebu nifafanulie kwa undani zaidi tofauti yake nini na hizi decorder za kawaida za dstv
Hii hapa kama huna hela ya kifurushi unaweza kukopa kwa ndugu yako yeyote ukanunulia kifurushi ukaendelea ku- enjoy program zao..
 
kuna vng'amuz vya aina mbil vya dstv
1)zapp ambavyo ni hd na co hd
2)explora ambayo ni hd


Asante sana kwa majibu ingawa ndio umenizamisha kabisa. Hicho Zapp ukinunua ni basi hutarecharge au nini? na hicho kinginge ndio kinakuwa chargeable?

Nielekeze ili unitoke huku Kolomije ninakovuna mahindi nwo
 
Asante sana kwa majibu ingawa ndio umenizamisha kabisa. Hicho Zapp ukinunua ni basi hutarecharge au nini? na hicho kinginge ndio kinakuwa chargeable?

Nielekeze ili unitoke huku Kolomije ninakovuna mahindi nwo
hv vyote vnatumia satellite dish na internet ,tofauti yke bei na ma2miz 2
explora ina uweze wa kurekod kipindi ukitakacho na kurudisha nyuma kipind kilicho pita
Zap (hd) hkina uwezo huo mpak utumie flash
 
Explora only 185,000/=
Explora+Smart LNB 270,000/=
Explora (full set) 321,000/=
bcf3cd460c55115994cf94bce4a6648b.jpg

0652170490
Smart lnb ina tofauti gani na lnb za kawaida?,nifumbue macho hapa
 
tofaut kubwa ukifunga ikiwa inakifurush cha compact pia ukiifunga ipasavyo inauwezo wa kurekod bila kutumia flash pia unaweza kuangalia kipind kilicho pita
Swali langu kwa nini mpaka mtu alipie ndo aweze kurekodi?
Yani kifurushi cha mwezi ninunue alafu na uduma ya kurekodi eti nilipie nyie watu hampo serious
 
Back
Top Bottom