astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
kuna masiala mengine mtu anaweza rusha ngumi[emoji23][emoji23][emoji23]Vile vifurushi vyenu vya maelf bado bei ileile? Au mmeshusha hadi Tsh. 5000? Kwakweli kipindi hiki cha Covid-19 , Dstv mmeisoma namba nanyi kivyenu, maana siku hizi king'amuzi chenu ni sawa tu na StarTimes! Dstv bila EPL, UEFA champions League si lolote!
Tuendelee kunawa mikono na kufuata maelekezo yote yanatolewa na wizara ya Afya!
The world without Covid-19 is possible!
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee ni nouma sanaMm nimeuza tv kabisa nimebaki na kingamuz tu sasa jiulize nitaweka je package hapo
Dstv hamjambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaàaa!juzi kati walinipigia simu wakaniuliza vipi mbona hulipii? Nikawaambia kwa herufi kubwa Hela hamna, ligi zimefungwa, Corona imevuruga kila kitu wakawa wapolee
Mkuu unaadimika sana siku hizi,ulikua unauliziwa juzi kati hapa.juzi kati walinipigia simu wakaniuliza vipi mbona hulipii? Nikawaambia kwa herufi kubwa Hela hamna, ligi zimefungwa, Corona imevuruga kila kitu wakawa wapolee
Mkuu Joseverest unatafutwa na Corona!juzi kati walinipigia simu wakaniuliza vipi mbona hulipii? Nikawaambia kwa herufi kubwa Hela hamna, ligi zimefungwa, Corona imevuruga kila kitu wakawa wapolee
Bora hata wengekuwa na local chanel za kueleweka tungekuwa tunalipia tuangalie hata taarifa za habari lakini humu unakuta tbc zbcVile vifurushi vyenu vya maelf bado bei ileile? Au mmeshusha hadi Tsh. 5000? Kwakweli kipindi hiki cha Covid-19 , Dstv mmeisoma namba nanyi kivyenu, maana siku hizi king'amuzi chenu ni sawa tu na StarTimes! Dstv bila EPL, UEFA champions League si lolote!
Tuendelee kunawa mikono na kufuata maelekezo yote yanatolewa na wizara ya Afya!
The world without Covid-19 is possible!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa wapo juu tu!Mbona wako poa tu hapa watoto wamekomaa na Disney junior
DSTV hawajanbo