Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unateseka sana na DSTV.Vile vifurushi vyenu vya maelf bado bei ileile? Au mmeshusha hadi Tsh. 5000? Kwakweli kipindi hiki cha Covid-19 , Dstv mmeisoma namba nanyi kivyenu, maana siku hizi king'amuzi chenu ni sawa tu na StarTimes! Dstv bila EPL, UEFA champions League si lolote!
Tuendelee kunawa mikono na kufuata maelekezo yote yanatolewa na wizara ya Afya!
The world without Covid-19 is possible!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile vifurushi vyenu vya maelf bado bei ileile? Au mmeshusha hadi Tsh. 5000? Kwakweli kipindi hiki cha Covid-19 , Dstv mmeisoma namba nanyi kivyenu, maana siku hizi king'amuzi chenu ni sawa tu na StarTimes! Dstv bila EPL, UEFA champions League si lolote!
Tuendelee kunawa mikono na kufuata maelekezo yote yanatolewa na wizara ya Afya!
The world without Covid-19 is possible!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nalipia kwa ajili ya soka tu,kila mtu na starehe yake......wamenikosaAcha kuishushia hadhi DSTV.
Kuhusu vifurushi kwa sasa wana ofa inaitwa TUPO NAWE, iko hivi...... Ukilipia kifurushi ulichopo unapewa cha juu zaidi.
Bila mpira bado Dstv wana chaneli nzuri sana zitakazokufanya ulipie kifurushi kabla hakijakata, ni hivi DSTV imejitosheleza kulinganisha na hivyo ving'amuzi vingine ulivyovitaja.
World of Champions
Naona wamepandisha vifurushi wanafidia kipindi cha corona
Kuanzia tarehe 1 SeptemberLini wamepandisha?
Wamepandisha kwa kiasi gani mkuu????Kuanzia tarehe 1 September
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Naona wamepandisha vifurushi wanafidia kipindi cha corona
Hivi mkuuWamepandisha kwa kiasi gani mkuu????
Ungeweka japo kwa kifupi vilivyomo kwa kila kifurushi mkuu, ili na wengine tusio na DSTV tuhamasikeHivi mkuu
Tafadhali fahamu kuwa gharama zetu mpya za vifurushi kuanzia 01/09/2020 ni kama ifuatavyo Premium Tsh.139,000/- Compact plus Tsh.89,000/- Compact Tsh. 49, 000/-, Family Tsh.29, 900/- na Bomba Tsh.19, 900/-tu
Nimeona hyo mesej mzaeee!!!Hivi mkuu
Tafadhali fahamu kuwa gharama zetu mpya za vifurushi kuanzia 01/09/2020 ni kama ifuatavyo Premium Tsh.139,000/- Compact plus Tsh.89,000/- Compact Tsh. 49, 000/-, Family Tsh.29, 900/- na Bomba Tsh.19, 900/-tu
Hivi mkuu

Azam hawezi pata hii dstv hapo ndipo anapowakamatia watu pamoja na uefa huku kwingineko ashapaachiaAzam nao wafanye chap kuleta EPL
Azam hawezi pata hii dstv hapo ndipo anapowakamatia watu pamoja na uefa huku kwingineko ashapaachia
Kupata rights za kuonyesha epl sio mchezo lazima wajipange kisje watokea kama kilichowatokea Gtv-sport wakafirisika kabisa
Leo hii supersport wanasign mikataba na makampuni makubwa kama ya espn,sky sport
Azam inabidi ajipange sana bado anasafari ndefu sana mpaka apate epl rights
Hahaha 309Mbona wako poa tu hapa watoto wamekomaa na Disney junior
DSTV hawajambo