Dstv hamjambo?

KITU CHA dstv sio mchezo kile kiwango kingine utaangalia mambo lukuki lakini kweli Corona imepiga kushoto kulia
 
DSTV wekeni local chanels za kueleweka kama itv,startv n.k!!pia mbona redio za bongo hazisikiliziki hata ukilipia dstv compact hamna kitu!tatzo ni nini??
 
Unateseka sana na DSTV.

Kama sio size yako tulia, tupo tuipendayo na tuko pamoja nayo hata kipindi hiki cha Corona.

DSTV wako juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntaanza kulipia kifurushi mpaka ligi Zirudi aseee
 
Mm nalipia kwa ajili ya soka tu,kila mtu na starehe yake......wamenikosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wamepandisha vifurushi wanafidia kipindi cha corona
 
Hivi mkuu

Tafadhali fahamu kuwa gharama zetu mpya za vifurushi kuanzia 01/09/2020 ni kama ifuatavyo Premium Tsh.139,000/- Compact plus Tsh.89,000/- Compact Tsh. 49, 000/-, Family Tsh.29, 900/- na Bomba Tsh.19, 900/-tu
Ungeweka japo kwa kifupi vilivyomo kwa kila kifurushi mkuu, ili na wengine tusio na DSTV tuhamasike
 
Hivi mkuu

Tafadhali fahamu kuwa gharama zetu mpya za vifurushi kuanzia 01/09/2020 ni kama ifuatavyo Premium Tsh.139,000/- Compact plus Tsh.89,000/- Compact Tsh. 49, 000/-, Family Tsh.29, 900/- na Bomba Tsh.19, 900/-tu
Nimeona hyo mesej mzaeee!!!
 
Hivi mkuu

Tafadhali fahamu kuwa gharama zetu mpya za vifurushi kuanzia 01/09/2020 ni kama ifuatavyo Premium Tsh.139,000/- Compact plus Tsh.89,000/- Compact Tsh. 49, 000/-, Family Tsh.29, 900/- na Bomba Tsh.19, 900/-tu

Dah wamezingua
 
Azam nao wafanye chap kuleta EPL
Azam hawezi pata hii dstv hapo ndipo anapowakamatia watu pamoja na uefa huku kwingineko ashapaachia

Kupata rights za kuonyesha epl sio mchezo lazima wajipange kisje watokea kama kilichowatokea Gtv-sport wakafirisika kabisa

Leo hii supersport wanasign mikataba na makampuni makubwa kama ya espn,sky sport

Azam inabidi ajipange sana bado anasafari ndefu sana mpaka apate epl rights
 
ESPN hata Azam ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…