Dstv kumbe hamna kitu, ni hovyo.Hongera Azam.

Dstv kumbe hamna kitu, ni hovyo.Hongera Azam.

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
Kwa gharama za vifurushi vyao kuacha kuonesha mechi kali kama
za leo(kutoka Afrika) za kufuzu world cup ni kutothamini wateja.

Congo vs Morroco
Cameroon vs Algeria
Ghana vs Nigeria

Mechi kama hizi hamuoneshi mnabaki kuonesha mi mbio ya baiskeli, jirekebisheni.
 
Punguza malalamiko ya kiswaili.unataka waonyeshe kila kitu hizo Tv zingine zitaonyesha nini?.Ndo maana ata Azam mwenyewe kuna mechi haonyeshi.nandivyo mgawanyo ulivyo ndo maana hata leseni zakuonyesha mipira hazitolewi ilimradi una Tv.
 
Yaani wateja wako unawafikiria kwamba watapewa huduma na wengine, Kwamba kila mwenye Dstv ana Azam, akili za wapi hizi? Mechi za CAF Azam wanaonyesha na Dstv wanaonyesha, AFCON Azam wameonyesha na Dstv wameonyesha , halafu hizi za qualification eti wameachiwa waonyeshe wengine.Acheni janja janja.
 
Back
Top Bottom