Ndio mkuu.Azam wanaonyesha?
Sio wakala mkuu, niko maeneo kuna Dstv tu. Nasearch game ya Congo silioni na hata za baadae hawataonesha, huku ni kutothamini wateja.Sawa wakala wa azam
Channel ganNdio mkuu.
Channel gan
Mimi hapa sebuleni kwangu nina DSTV na AZAM baada ya kugundua hakuna kitu dstv nikahamia Azam nikakuta mzigo.Sio wakala mkuu, niko maeneo kuna Dstv tu. Nasearch game ya Congo silioni na hata za baadae hawataonesha, huku ni kutothamini wateja.
Ela ndo kila kitu.unachagua kile unachokitaka kwa wakati huo.Mimi hapa sebuleni kwangu nina DSTV na AZAM baada ya kugundua hakuna kitu dstv nikahamia Azam nikakuta mzigo.
Tutafute hela aisee.
Ukitafuta hela inasaidia kupunguza malalamiko.Ela ndo kila kitu.unachagua kile unachokitaka kwa wakati huo.
Wajinga sana ....yaani mpo africa alafu mnashindwa kuonyesha game za bara leo. Hovyo hawa jamaaa. Yaani azam apigane tuu apate premier leagueDstv soka la Afrika ni kama hawalipi kipaumbele sana
Hataweza kuipata na akiweza kuipata vifurushi vitakuwa vina bei kuliko DStv ili uone ligi ya Uingereza.Wajinga sana ....yaani mpo africa alafu mnashindwa kuonyesha game za bara leo. Hovyo hawa jamaaa. Yaani azam apigane tuu apate premier league
Yaani wateja wako unawafikiria kwamba watapewa huduma na wengine, Kwamba kila mwenye Dstv ana Azam, akili za wapi hizi? Mechi za CAF Azam wanaonyesha na Dstv wanaonyesha, AFCON Azam wameonyesha na Dstv wameonyesha , halafu hizi za qualification eti wameachiwa waonyeshe wengine.Acheni janja janja.Punguza malalamiko ya kiswaili.unataka waonyeshe kila kitu hizo Tv zingine zitaonyesha nini?.Ndo maana ata Azam mwenyewe kuna mechi haonyeshi.nandivyo mgawanyo ulivyo ndo maana hata leseni zakuonyesha mipira hazitolewi ilimradi una Tv.
Ahsante mkuu.Pole mkuu, wameku-disappoint sana