Dstv kumbe hamna kitu, ni hovyo.Hongera Azam.

Kwani Azam wateja wake wapenzi wa ligi ya uingereza wanapewa huduma na nani.Inawezekana dstv hakupata kibali chakuonyesha na kabla hujalalamika ungeuliza upate majibu ya kwanini hawajaonyesha.Haya mambo yana taratibu zake sio kujiamulia tu.
 
Sijahitaji huduma ya NBC premier league kutoka Dstv sababu inajulikana hawaonyeshi. Kwa hiyo swali lako la epl kutoka Azam halina mantiki. Hakuna mteja wa Azam alipie kifurushi chake halafu ategemee kuona ligi ya uingereza , hayupo.

Hizi mechi za qualification hazina mlolongo wowote mrefu kupata vibali sema nyinyi mmepuuzia tu.
 
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…