DSTV kuonyesha Michuano ya UEFA kwa misimu mitatu kuanzia 2018/19

Godsake

Member
Joined
Nov 29, 2017
Posts
47
Reaction score
26
Mabibi na mabwana kwa mara nyingine tena kampuni ya multichoice inayomiliki king'amuzi cha dstv kupitia chaneli zake za supersport imefanikiwa kushinda tena tenda ya kuonyesha michuano ya UEFA kwa ukanda huu wa kusini mwa jangwa la sahara kwa misinu mitatu kuanzia msimu wa 2018/2019. Hivyo watanzania wenye hali ya chini kiuchumi tuendelee kupambana na hali zetu.




Tulitegemea azamtv wangekuwa mwokozi wetu lakini mkaburu hawataki
kukubali kuachia vyuma


Tupambane na hali zetu.




DSTV TANZANIA.
 
Aisee wakuu namna ya kuipata hiyo xtv hebu wekeni bayana hili basi
 
mi naona sports channel zote kupia xtv ninapotaka kungalia mpira natia bundle yangu ya 500 safi kabisa no dish no scratch no buffering

XTV another popular private Roku channel with questionable content was recently taken down by Roku for claims of copyright violations.


The party is over for many XTV fans who used this Roku channels as their main source of watching free TV shows. It joins iStreamItAll and several other private channels who Roku decided was no longer welcomed on their platform.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…