Godsake
Member
- Nov 29, 2017
- 47
- 26
Mabibi na mabwana kwa mara nyingine tena kampuni ya multichoice inayomiliki king'amuzi cha dstv kupitia chaneli zake za supersport imefanikiwa kushinda tena tenda ya kuonyesha michuano ya UEFA kwa ukanda huu wa kusini mwa jangwa la sahara kwa misinu mitatu kuanzia msimu wa 2018/2019. Hivyo watanzania wenye hali ya chini kiuchumi tuendelee kupambana na hali zetu.
Tulitegemea azamtv wangekuwa mwokozi wetu lakini mkaburu hawataki
kukubali kuachia vyuma
Tupambane na hali zetu.
DSTV TANZANIA.
Tulitegemea azamtv wangekuwa mwokozi wetu lakini mkaburu hawataki
kukubali kuachia vyuma
Tupambane na hali zetu.
DSTV TANZANIA.