Sio kwa kila mtu hilo bando linamfikia yaani ni laini baadhi tuP
Aisee sikujua kama bundle ni bei rahisi hivyo. Huko kusumbua kwa internet ndio tatizo kubwa ambalo lingetatuliwa waangaliaji wa mpira kwa streaming wangeongezeka.
2000/= gb5 nitaitafuta hio mkuu.
Mkuu hii inapatikanaje.?Tatzo dar cable tv zimezuiwa huku mikoani tunapeta 15k kwa mwezi being sport na canal+ ni bwerere
Hii ya mtandao gani bossSio kwa kila mtu hilo bando linamfikia yaani ni laini baadhi tu
Piga *149*03#
Intaneti ya Bongo ni majanga hakuna mtandao wowote unaojiweza
Voda GB 5 Tsh .2K kwa mweziHii ya mtandao gani boss
Nafikiri Azam wanaweza kuwa na hela za kununua Premier League package, tatizo kuna subscribers wa kutosha kiasi cha kurudisha hela yao na faida? Hata DSTV ni ghali kwasababu ya uchache wa subscribersAzam hawafikii vigezo sababu hawajafika Africa yote na pia hawana enough HD chanels. Tatizo kubwa ili ushinde ni je unawafikia wateja wote sasa Azam bado sana na system wanayotumia sio secured. Ukiondoa na gharama maana Beinsport nadhani EPL tu ili wa cost 270$ MM. Bein wanalipa kwa mwaka kama 300$ ila unaona UEFA, EPL,LIGA,SERIA A, FRANCE, BUNDESLIGA, CAF, W.CUP, EURO, 7 MOVIE CHANELS na news sijui Geograph channels na entertainment chan. Zote ni HD tu. Sasa sijui kwanini Dstv ni expensive. Pia Bein mechi zote zinakuwa live unachagua tu na Language ni optianal.
Azam wanaweza kununua epl kwa ajili ya wateja wa tz tu kama walivyofanya kwa laligaNafikiri Azam wanaweza kuwa na hela za kununua Premier League package, tatizo kuna subscribers wa kutosha kiasi cha kurudisha hela yao na faida? Hata DSTV ni ghali kwasababu ya uchache wa subscribers
Azam wanaweza kununua epl kwa ajili ya wateja wa tz tu kama walivyofanya kwa laligaNafikiri Azam wanaweza kuwa na hela za kununua Premier League package, tatizo kuna subscribers wa kutosha kiasi cha kurudisha hela yao na faida? Hata DSTV ni ghali kwasababu ya uchache wa subscribers
Game ya Tottenham naichek live saivi hapa azamAzam hawafikii vigezo sababu hawajafika Africa yote na pia hawana enough HD chanels. Tatizo kubwa ili ushinde ni je unawafikia wateja wote sasa Azam bado sana na system wanayotumia sio secured. Ukiondoa na gharama maana Beinsport nadhani EPL tu ili wa cost 270$ MM. Bein wanalipa kwa mwaka kama 300$ ila unaona UEFA, EPL,LIGA,SERIA A, FRANCE, BUNDESLIGA, CAF, W.CUP, EURO, 7 MOVIE CHANELS na news sijui Geograph channels na entertainment chan. Zote ni HD tu. Sasa sijui kwanini Dstv ni expensive. Pia Bein mechi zote zinakuwa live unachagua tu na Language ni optianal.
Bei ya La Liga na EPL ni tofauti.Azam wanaweza kununua epl kwa ajili ya wateja wa tz tu kama walivyofanya kwa laliga
Are u serious? Azam ngapi?Game ya Tottenham naichek live saivi hapa azam
Kigezo kikuu cha kununua kitu ni bei.Sijatumia kigezo cha bei bali idadi ya watazamaji kwa maana azam bado hawajafika maeneo mengi Africa
Ndio kitu gani hiki mkuu? Hebu tupe elimu sisi tuachane na hawa wakaburusasa hivi tuna xtv kaburu atatusikia kwa bomba
Nafikiri huwa unajibu tu bila kusoma, post ya kwanza ulionijibu niliandika hivi 'NAFIKIRI AZAMA WANA HELA YA KUNUNUA EPL PACKAGE....INAWEZEKANA HAWANUNUI KWASABABU HAMNA SUBSCRIBERS WAKUTOSHA KURUDISHA HELA YAO NA FAIDA...Lazima ujue Azam ni biashara sio charity.Azam hawajakosa pesa