DSTV kuonyesha Michuano ya UEFA kwa misimu mitatu kuanzia 2018/19

P

Aisee sikujua kama bundle ni bei rahisi hivyo. Huko kusumbua kwa internet ndio tatizo kubwa ambalo lingetatuliwa waangaliaji wa mpira kwa streaming wangeongezeka.
2000/= gb5 nitaitafuta hio mkuu.
Sio kwa kila mtu hilo bando linamfikia yaani ni laini baadhi tu
Piga *149*03#

Intaneti ya Bongo ni majanga hakuna mtandao wowote unaojiweza
 
Ninavyopenda Kibanda umiza siwezi poteza muda huko ushuani kwenye sijui stream. Misemi na tambo za vibandani wenzenu ndo burdani zetu. Jero tu mechi zote kama zinachezwa muda mmoja unaziona, plus ubishi, uchambuzi na majina tuwaitayo wachezaji wa Ulaya. Van Magoli(van Persie)
 
Azam hawafikii vigezo sababu hawajafika Africa yote na pia hawana enough HD chanels. Tatizo kubwa ili ushinde ni je unawafikia wateja wote sasa Azam bado sana na system wanayotumia sio secured. Ukiondoa na gharama maana Beinsport nadhani EPL tu ili wa cost 270$ MM. Bein wanalipa kwa mwaka kama 300$ ila unaona UEFA, EPL,LIGA,SERIA A, FRANCE, BUNDESLIGA, CAF, W.CUP, EURO, 7 MOVIE CHANELS na news sijui Geograph channels na entertainment chan. Zote ni HD tu. Sasa sijui kwanini Dstv ni expensive. Pia Bein mechi zote zinakuwa live unachagua tu na Language ni optianal.
 
Nafikiri Azam wanaweza kuwa na hela za kununua Premier League package, tatizo kuna subscribers wa kutosha kiasi cha kurudisha hela yao na faida? Hata DSTV ni ghali kwasababu ya uchache wa subscribers
 
Azam wanaweza kununua epl kwa ajili ya wateja wa tz tu kama walivyofanya kwa laliga
 
Game ya Tottenham naichek live saivi hapa azam
 
Kuna kipindi TV1 walikuwa na package ya game moja EPL
 
Azam hawajakosa pesa
Nafikiri huwa unajibu tu bila kusoma, post ya kwanza ulionijibu niliandika hivi 'NAFIKIRI AZAMA WANA HELA YA KUNUNUA EPL PACKAGE....INAWEZEKANA HAWANUNUI KWASABABU HAMNA SUBSCRIBERS WAKUTOSHA KURUDISHA HELA YAO NA FAIDA...Lazima ujue Azam ni biashara sio charity.
 
Back
Top Bottom