Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Sisi wateja wa soka hasa msimu huu wa kombe la dunia burudani imesogezwa sebuleni kwetu, kwani kwa kifurushi cha Bomba cha Tsh 19,000 tutapata mechi zote 64 za kombe la dunia katika mfumo wa High Definition ( HD ). Wapenzi wa soka kazi ni kwetu sasa...