Dstv mjipange!kwanini Msirushe live bundesliga hapo kesho??

Dstv mjipange!kwanini Msirushe live bundesliga hapo kesho??

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Bado mnatukera wateja wenu!hasa katika kipindi ambacho ligi zimesimama lakini wateja tumelipia bill kama kawaida huku tukiangalia vipindi vinavyo boa hata kutazama na watoto havina burudani yoyote!kwanini msitujali wateja kwa kurusha bundesliga live???Tuliolipia decorder kipindi hiki cha corona tumepata hasara tu kwa kuangalia wahindi na series ambazo hazieleweki!!!
Acheni unyonyaji tupeni live matches za bundesliga kuliko kumiliki chanel za michezo halafu hamna kitu!ya chanel ya ss200 hadi ss214 zote miereka tu yaani hovyo kabisa!!!
 
Yani ni bora wasingerushaga serie A lakini wangekua wanaonesha Bundesliga
 
Mzee vipi unadhani kuonesha mechi ni kama wewe unavoweka movie kwenye deki yako yani unajiamulia tu
 
Back
Top Bottom