Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Wajanja wanakula pesa kiainaWezi sana wametufungia channel ya Yoruba na Hausa
Fanya kazi ndugu. Kulalama wa hizo moves hazikupi ugali
Nilidhani wachapakazi kama wewe hata JF hawaingii kupotezA muda kwenye nyuzi zetu sisi wavivuFanya kazi ndugu. Kulalama wa hizo moves hazikupi ugali
Achana na hawa, huyu ana stress za maisha.Kuna muda wa mapumziko mkuu au ukute kazini kwake hio ndo kazi yake kuangalia kisha kuandika summary
Hususani m Action kwenye channel 112 au 139Hawa jamaa wanaweza kukuwekea movie ya aina moja wakawa wanairudia rudia kwenye chaneli zao feki za movies.
Kila ukifungua chaneli yao ya movie unakutana na movie ulio iona jana
Wajanja sana hawa jamaa😂
Weka dstv now utaona movies zote zilizooneshwa mwezi husika angalia mpaka macho yavimbeHawa jamaa wanaweza kukuwekea movie ya aina moja wakawa wanairudia rudia kwenye chaneli zao feki za movies.
Kila ukifungua chaneli yao ya movie unakutana na movie ulio iona jana
Wajanja sana hawa jamaa😂
Yoruba unaangalia nini mkuuWezi sana wametufungia channel ya Yoruba na Hausa
Bora kidogo tntHususani m Action kwenye channel 112 au 139
🤣🤣😂🤣😂😂Kuna muda wa mapumziko mkuu au ukute kazini kwake hio ndo kazi yake kuangalia kisha kuandika summary
Unafikiri hafanyi KAZI.Fanya kazi ndugu. Kulalama wa hizo moves hazikupi ugali