DSTV na utapeli wa movies za kujirudia rudia.

DSTV na utapeli wa movies za kujirudia rudia.

Unafikiri hafanyi KAZI.
Tatizo la wabongo kutaka wote mfanye KAZI za kujitesa na shida shida....ushamba tuu
😀😀😀 kweli kabisa ufanyaji kazi umetofautiana kuna mwingine yupo dukani ,huku kwa juu ameweka tv anamburudisha, ana haki yakulalamika kwa huduma inayotolewa kama hairidhishi.
 
Back
Top Bottom