DStv now Account

skydmx

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2010
Posts
229
Reaction score
96
Wakuu natumaini salama
Naomba kama kuna member anataka kuuza account ya dstv now anione pm.
Nahitaji kutumia ktk simu - please sitaki iptv za dstv
 
wakuu natumaini salama
naomba kama kuna member anataka kuuza account ya dstv now anione pm.
nahitaji kutumia ktk simu - please sitaki iptv za dstv
Njoo nikuunge nikupe details zangu za Dstv ulog in na uenjoy kila aina ya burudani ina zaidi ya chanel 150 kifurushi cha juu kuliko vyote chanel zote za michezo zinaifunguka na za kombe la dunia zote iwe za lugha ya kiswahili ama kifaransa ama kingereza ni wewe bei ni sawa na buree

Chakufurahisha app ya Dstv haili kabisaa mb yaani unaweza set qwality ya picha utakavo ina option 5 za qwality ni wewe mimi huwa natumia kuangalia mpira kwa full time kwa dakika 90 natumia mb 200 au 300 tu wakati app zingine dakika 90 unajikuta umetumia gb1 kabisaa au zaidi mfano kama app ya mobdro nk toka nmeifahamu hii dstv siwezi kutumia app yoyote nyingine maana zinakula bando hatari ila hii dstv tumia utakuja niambia nimekaa pale hivi.
 
Hiyo quality si mbovu kupindukia?..

Kuna vifurushi vya dstv..1k gb2 kwa masaa mawili..Unaangilia kwa quality ya 720p..atleast hii inaridhisha.
 
Hiyo quality si mbovu kupindukia?..

Kuna vifurushi vya dstv..1k gb2 kwa masaa mawili..Unaangilia kwa quality ya 720p..atleast hii inaridhisha.
Ndiyo mana nimesema. Naweka qwality ya pili kutoka mwisho low sio lowest kwangu mimi inanitosha ila kama unataka ipo hadi option ya 1080p yaani HD ni wew tu
 
Karibuni nafasi ya Dstv imebaki 1 kama kuna mtu anahitaji anione namba hiyo hapo kweny comment ya juu kombe la dunia ndo limefika. Patamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…